DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
Hivi kwanini Zitto hakuwa Mwenyekiti wa chama halafu yule mama ndiye awe Kiongozi mkuu wa chama?
nilikuwepo wakati unauliza nilipenda sana maswali yko jamaa alishindwa kujib
Amesema atamwachia Lowassa akiamua kujiunga nao akitokea CCM,mradi tu atangaze Mali zake!!!!!!!!!!!Sielewi kama huo ndiyo ujamaa wanaousema
Hivi kwanini Zitto hakuwa Mwenyekiti wa chama halafu yule mama ndiye awe Kiongozi mkuu wa chama?
Swali:Zitto ni lini utaoa kwani wewe ni kiongozi mkubwa wa kisiasa na pia mtu maarufu kwa muda mrefu sasa.
Zitto:Mie Bado nipo nipo kwanza , kama alivyo babu slaa.
Swali:Kutokana na kuishi kisela, je una jifariji vipi ikizingatiwa hata demu huna.
Zitto: Kwani viganja na "komoa" zimeisha...
Watu: Ahaaaa......