Maswali yangu muhimu kwa Rais Magufuli

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,807
1) Uliagiza Mwanza wasivunjiwe Nyumba kwa Kuwa walikupigia Kura, Ubungo Walivunjiwa Nyumba ikiwemo kupondaponda Kabati zao, vyungu, vitanda etc Ndani ya Nyumba zao kwa Sababu gani?

2) Uliruhusu Kanda ya Ziwa walime kando ya Mito, Bustani za Mbowe zilikatwakatwa kwa sababu gani?

3) Uliwaaruhusu "Wakulima" wenye Tani Ishirini za Ndizi Bukoba wapitishe tani moja moja ikifika Jioni wanakuwa wamepitisha Tani 20 zote! Je "Mfugaji" Akiuza Mbuzi au Ng'ombe Mmoja analipa kodi ya nini?

4) Ulikiri kuwa Ulituma Wanasheria Canada kushughulikia Bombardier iliyokjwa confiscated, shikiliwa, Usaliti wa Tundu Lissu au Uwongo wake Ulikuwa nini?

5) Ulimpandisha Cheo Myeti aliyeonekana wazi Akinunua Madiwani wa Chadema kwa Rushwa, Ila unatembea nchi nzima Ukidai Unapigana na Rushwa! Unakuwa ukiwachukulia Watanzania ni Wajinga Kiasi gani? la kama sio, Rushwa Kwako maana yake nini?

6) Ulisema Kuwa Ukulima Shambani Ukimkuta Nyoka Unamponda akiponyoka Bahati yake! Hivi kihalisi ulimaanisha nini? Nyoka, Kuponda, Kaponyoka! Discussed hii issue!

Kwa Leo Ni hayo Ila Maswali Ninayo Mengi nitauliza Baadaye,

Nyerere hoyeeeee
Mwinyi hoyeee
Kikwete juuu!

Ben Saa Nane Alikuwa My Young Brother! By The Way!
 
Ngumu kumeza ...ngoja mimi ntasoma zile coments za wale watu
 
Zero brain bwana
 
Magufuli ni mwakilishi wa kanda ya ziwa serikalini,, bahati mbaya sana serikali ina mwakilishi mmoja tu ambaye ndo huyo wa kanda ya ziwa. Anafanya kila liwezekanalo kulinda maslahi ya wana kanda ya ziwa.
 
Magufuli ni mwakilishi wa kanda ya ziwa serikalini,, bahati mbaya sana serikali ina mwakilishi mmoja tu ambaye ndo huyo wa kanda ya ziwa. Anafanya kila liwezekanalo kulinda maslahi ya wana kanda ya ziwa anaowawakilisha serikalini.
 
Siku zote umekuwa ukiandika upuuzi juu ya MAGUFULI...Maswali yako yangekuwa na UHALALI KWAKE IWAPO TU ungemheshimu SINCE AMECHAGULIWA KUWA RAIS wa NCHI HII.....
 
Hizi kauli tata kama Upinzani wazipozitumia kwenye kampeni ya 2020 nitawadharau sana.

Mheshimiwa Godbless J Lema kipindi hiki mna nafasi kubwa sana kubadili mawazo ya wananchi kupitia hizi kauli tata.

WhatsApp, Facebook, Instagram, TV & Radio stations mkirusha vizuri hizi kauli kutumia vyombo hivi mmeula.
Watanzania unawaonaje wewe? Can you imagine, wahaya/bukoba na kejeli yote ya tetemeko, wamemshangilia kama vile yesu anaingia galilaya! watanzania mbuzi mbuzi!
 
Tafadhali ukipata majibu nijulishe nitakununulia Pepsi ya moto.
 
Kiukweli taifa hili limegawanywa vipande vipande na huyu msukuma alieshindwa kuongoza watu, huwezi kumshangaa huyu mtu ambaye mshauri wake mkuu ni Makonda ambaye ni zero brain, km akituaminisha Lissu ni muongo kulikoni leo anajinasibu kuwa tunadaiwa huu ni ujinga wa CCM na watu wake
 
Back
Top Bottom