Maswali yangu mawili ya msingi kwa Paul Makonda

Maswali yangu mawili ya msingi kwa Paul Makonda

kapolisi

Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
25
Reaction score
5
NILICHAMBUA ORALLY JUU YA FASILI YA KAULI MBIU ya Mh. Rais ###HAPA KAZI TU... Katika kuhamasisha Weledi na Ufanisi Kwa wananchi na Viongoz kwa ujumla katika kutuletea maendeleo nchini.

Kama Trade Unionist (nadeclare interst )

Video hiyo inanizalishia maswali mawili makubwa ya kutafakari kwa kaka Paul.

1. Alifanya mawasiliano nao akajua kipi kiliwasibu kabla ya kuwahukumu?
(Nb, kama ndio ingekuwa ndio suala la kwanza kujibu kwenye mahojiano yake Kuwa walichelewa kwa sababu hizi ambazo sio za msingi)


2. Sheria na KANUNI za utumishi wa UMMA zinaeleza nini Endapo MTUMISH akichelewa Kazini au kikaoni?


Kuna kitabu kizuri kinachoelezea Nyerere na Ujamaa nacho kina kichwa "NYERERE WAS NOT DEFEATED BUT BETRAYED "

Kilielezea namna ambavyo Mwalimu hakushindwa KUTEKELEZA sera ya UJAMAA NA KUJITEGEMEA Ila alisalitiwa na Viongoz wa chini ambao walishindwa kuwaelewesha wananchi juu ya sera hiyo.Pia usaliti wa Viongoz kujilimbikizia Mali za Jamii badala ya kuzitumia kwa mijibu wa KANUNI .....

MAANA YANGU ;
Naipenda SANA KAULI MBIU ya Mh. Dr. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia naamini ni Kauli MBIU STAHIKI kwa wakati tulionao... Kwani suala la utendaji kwa watumishi wa UMMA lilikuwa changamoto Kwa Kila idara Kuwa na kero na Ufanisi mdogo.

Ili Kauli MBIU hiyo isijepwaya au kuleta NEGATIVE IMPACT kwa jamii, Viongozi na Watendaji ni vizuri Kila mmoja akatekeleza Kauli mbiu hiyo kwa umakini mkubwa..... Huku tukifuata Sheria, kanuni, Taratibu na Busara ..

Kaka Paul Kuna umuhimu ujisahihishe (wazo ambalo Mwalimu Nyerere alisisitiza mara Viongoz wanapoteleza )

Pia ni vizuri kwa Viongoz wengine kutafakari kwa kina kabla ya kuchukua hatua katika maeneo yetu (TO ADHERE POSITIVISM IDEOLOGY after digesting the matter accordingly )

#Team#PasuaMajipu#

Ibrambeya@gmail.com
 
Pole sana mkuu kwa kulazwa rumande,,ndio maisha mkuu siku nyingine jitahidi kuwahi si unajua dogo anatafuta sifa kwa mkulu mpya.
 
Pole sana mkuu kwa kulazwa rumande,,ndio maisha mkuu siku nyingine jitahidi kuwahi si unajua dogo anatafuta sifa kwa mkulu mpya.


Mimi sijalazwa Ila sikufurahishwa na Hilo... NAHOFU ITATOKEA CHANGAMOTO NYINGINE YA WATUMISHI KUKATA TAMAA ZAID NA SERIKALI YAO...... Kwani walianza kupata matumaini mapya
 
Nchi ngumu hii Makonda kawalaza mapande ya watu ndani na ndevu zao Chabruma wewe kiboko.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom