Maswali yalioninyima usingizi nilipokua mtoto

Maswali yalioninyima usingizi nilipokua mtoto

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
42,471
Reaction score
105,019
Kuna baadhi ya mambo yalinifanya niumize akili enzi za uto to
1- mtu akivaa overall (kanyela mumo) anakunyaje?
2-mama akienda kujifungua, je mototo hupitia wapi kutoka tumboni?
3-baba na mama, walizalia pamoja?
4-mwalimu ndie mtu mwenye akili kuliko watu wote?
5-rais ndie mwenye nchi?

Ongezea maswali yalio kutatiza utoton
 
Kumkimbia askari yoyote mwenye silaha begani niliwaza inaweza fyatuka any time.
 
Inakuaje baba na mama wanaendelea kuichagua ccm wakati haijawapatia huduma zozote za msingi..?

Kwa nini baba ananipeleka kusoma nje inamaana wanaosoma uku hawaelewi.?
 
Hahaahaaaaaaa....
Unasomeka kama vile tayari ulikua umesha jitambua ehhh....!!
 
Kuna baadhi ya mambo yalinifanya niumize akili enzi za uto to
1- mtu akivaa overall (kanyela mumo) anakunyaje?
2-mama akienda kujifungua, je mototo hupitia wapi kutoka tumboni?
3-baba na mama, walizalia pamoja?
4-mwalimu ndie mtu mwenye akili kuliko watu wote?
5-rais ndie mwenye nchi?

Ongezea maswali yalio kutatiza utoton

ya kwangu yalikuwa haya:
1. je mtu akifa anapandia wapi kwenda mbinguni?
2.je raisi anakunya?
 
mi nilikuwa najiuliza
je jua linaenda kulalavwapi ikifika jioni?
je kwa nn linapita chini ya ardhi kutokea upande wa pili asubuhi? kwa nn lisirudi kwa kupitia angan hadi lipitie chini kwa chini ardhini?
 
..kwa nini watoto wakiume hawavalishwi teitei kengele zagongaaa..while wa kike wanavalishwa mda wote?
 
  1. mimi nilikuwa nikiwaskia big boys wakizungumzia kumkojole msichana, nilikuwa nadhani mkojo huu huu wa kawaida! sasa nikawa najiuliza msichana akishakojolewa, tena kwa wingi wa mkojo, huwa unaenda wapi? matakoni ama tumboni!
  2. mimi nilikuwa naamini, tukisafiri ile miti nayo inasafiri kwa kurudi nyuma!
 
Mpaka sasa naendelea kufikiria kuhusu uchawi na wachawi. Hii teknolojia ikoje
 
1.Lakwangu lilikuwa mungu aliumbwa na nani, 2. kwanini mungu ni mzungu afu shetani mwafrika, mana sande skuli walikuwa wanatuonesha picha za kuchora mungu mzungu shetan mwafrika. 3. Kwanini unakula chakula kizuri kikitoka yani ukinya kinatoa harufu nilikua najiuliza nani kakaa tumboni anakipaka mavi.
 
Mimi sikuwahi kuwa na maswali yasiyo na jibu. Nikijiuliza swali natengeneza na jibu hapo hapo. Nilikuwa najua for sure mimba inapatikana baharini, chini ya mnazi. Mwanamke anasimama anaegemea mnazi, halafu mume anamshika tumbo anamuambia uwe na mimba ya mtoto wa kike. Afu wanarudi nyumbani (sikujua kama kuna kufanya 'matusi')
 
1.Lakwangu lilikuwa mungu aliumbwa na nani, 2. kwanini mungu ni mzungu afu shetani mwafrika, mana sande skuli walikuwa wanatuonesha picha za kuchora mungu mzungu shetan mwafrika. 3. Kwanini unakula chakula kizuri kikitoka yani ukinya kinatoa harufu nilikua najiuliza nani kakaa tumboni anakipaka mavi.
Hii imenichekesha sana. duuu hasa hiyo ya mwisho.
 
nilipokuwa mdogo nilimwambia mom akaniokotee mdogo wangu baharini akawa ananizungusha tu(mi wa mwisho)
2 mbinguni kupoje je kuna nyumba na watu wanaoishi huko
3 nilimwambia mom kwanini asimbadili kaka angu mmoja kuwa dada nina kaka sita afu sina dada kakaangu nilieombwa abadilishwe kuwa dada alinipigaje tena ndo alikuwa anabalehe kipindi hicho mimi nilikuwa la kwanza lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom