Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

Kwa Kada yangu maswali yalikuwa ya Multiple Choice. haya ku base katika cozi yangu kabisa
Yalikuwa yame base kweny ICT, RESEARCH na TEACHING ODL. bas
Maswali yalikuwa 40. DK ni 40 pia.

Japo kuna wenzangu wa kada nyingine walitolewa mswal ya kuji explain akituliia nita muuliza n maswal gan nitawapa mrejesho.

N.B Now nipo sielewi kama nimetobooa Written au laa.
nipo nasukuma PlayStation hapa nipunguze machungu.
 
Duhh boss, inaonekana ilikuwa sio poa asee, Sasa unapigwa multiple choices ambazo hazihusiani kabisa na kozi yako tena ni test yote dahh. Yaani Cha msingi ujuwe kubet tu.
 
Kwa Kada yangu maswali yalikuwa ya Multiple Choice. haya ku base katika cozi yangu kabisa
Yalikuwa yame base kweny ICT, RESEARCH na TEACHING ODL. bas
Maswali yalikuwa 40. DK ni 40 pia.

Japo kuna wenzangu wa kada nyingine walitolewa mswal ya kuji explain akituliia nita muuliza n maswal gan nitawapa mrejesho.

N.B Now nipo sielewi kama nimetobooa Written au laa.
nipo nasukuma PlayStation hapa nipunguze machungu.
Pole sana mkuu jiandae kwa lolote.

Hadi kufikia saa 3 sijaona chochote kwenye website, huenda wanaweza kuitwa kimya kimya kwenye oral, hujuma huwa haziishi.

Uliomba na ile nafasi kwa Mkemia mkuu?
 
Naimani utatoboa.
 
aingie kwenye account yake huwa wanatangulia kuweka kule
 
Pole sana mkuu jiandae kwa lolote.

Hadi kufikia saa 3 sijaona chochote kwenye website, huenda wanaweza kuitwa kimya kimya kwenye oral, hujuma huwa haziishi.

Uliomba na ile nafasi kwa Mkemia mkuu?
Kwa Mkemia wametoa Majina kwani ya Usaili?
 
Kwa Kada yangu maswali yalikuwa ya Multiple Choice. haya ku base katika cozi yangu kabisa
Yalikuwa yame base kweny ICT, RESEARCH na TEACHING ODL. bas
Maswali yalikuwa 40. DK ni 40 pia.

Japo kuna wenzangu wa kada nyingine walitolewa mswal ya kuji explain akituliia nita muuliza n maswal gan nitawapa mrejesho.

N.B Now nipo sielewi kama nimetobooa Written au laa.
nipo nasukuma PlayStation hapa nipunguze machungu.
Wewe ulikuwa umeitwa tutorial ipi pale? Maana kulikuwa na Kada nyingi za TA
 
Kwa Kada yangu maswali yalikuwa ya Multiple Choice. haya ku base katika cozi yangu kabisa
Yalikuwa yame base kweny ICT, RESEARCH na TEACHING ODL. bas
Maswali yalikuwa 40. DK ni 40 pia.

Japo kuna wenzangu wa kada nyingine walitolewa mswal ya kuji explain akituliia nita muuliza n maswal gan nitawapa mrejesho.

N.B Now nipo sielewi kama nimetobooa Written au laa.
nipo nasukuma PlayStation hapa nipunguze machungu.
Mkuu kila la kheri huenda ushatoboa written
 
Huyo mwamba kwenye Chemistry ana marks kubwa ila hajachaguliwa, atakuwa kavunja sheria za pepa
Ni mwanangu nilikuwa na chat nae, wamemgomeea kubadilisha hiyo remark.
Jamaa alikuwa Dodoma anamuuguza Mother wake, kaja kupiga paper kafaulu lakni nashangaaa figisu ya not selected.
cjuii iyo nafasi anapewa nan?? Ila sio fair.
IMG_20220816_084319_1.jpg
 
Ni mwanangu nilikuwa na chat nae, wamemgomeea kubadilisha hiyo remark.
Jamaa alikuwa Dodoma anamuuguza Mother wake, kaja kupiga paper kafaulu lakni nashangaaa figisu ya not selected.
cjuii iyo nafasi anapewa nan?? Ila sio fair.View attachment 2325020
Hakukuwa na kosa lolote allilofanya? Hata alipowacheki wabadili hakuambiwa kosa?
 
Nimelaza mshale hapo.. Mambo ya Teaching yameniangusha. Nguo zangu za kuingilia Oral ngoja nizirushe kwny Kabati. Asanteni kwa ushirikiano wakuu.
Riziki ipo, huenda ishatengwa kwenye placement unayoisubiri.

Ile nafasi kwa Mkemia mkuu uliomba?
 
Mungu yupo. Kama anamuamini Mungu asikate tamaa asilani. Ujue Joseph alifanyiwa figisu sana lakini siku yake ikifika halooo. Figisu zote zitasujudu
 
Hakukuwa na kosa lolote allilofanya? Hata alipowacheki wabadili hakuambiwa kosa?
Yaani hii case yake ni System tu ndio ime command hivyo.
na utumishi wamesema hawwz badili. maana mzigo mpk umekuwa Published inamaana walisha signed.
 
Back
Top Bottom