Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

Mie nakusaidia oral mkuu jiandae na topic moja unaijua vizuri utapewa karatas Kama mtakua wengi utaambiwa uchague topic na u present na u assume Kama panel ni wanafunzi unawafundisha so utaandika maelezo we then mtakusanya karatas msubri kuitwa interview ukiingia watakuambia usamarize ulichoandika kwenye karatas baada ya hapo utapigwa swali moja kulingana na ulichopresent jiandae na important ya topic Yako, baada ya hapo ni introduce you self and your education background, baada ya hapo ni maswali mengine Kama mawili hivyo interview inaisha so ni hicho nachojua mie sina nodo za written kwa sababu ya kada tofauti na niliyosomea mie
 
nikitoboa Written nitalizingatia hili
 
Mkuu hili paper ume Experience kutoka Chuo gani??
Wewe Elewa. Mm nimepiga moja. Walio itwa kazini, address zao wote ni wa Mkoa ule tu. (Why?). Mwaka huu ndio wamebadili mfumo. Zamani tulikuwa tuna piga paper za utumishi General Questions. Sasa hivi vyuo vinatunga maswali na wana sahihisha wao. Matokeo wana wapa watu wa utumishi kutangaza tu. Ni upuuzi mtupu. Vyuo vina watu wao. Paper utadhani kukomoana. Maswali mengiiiiii na mareefuuuuuu utadhani kukomoana. Hivi mtihani 1 wa kuandika umchuje Tutorial Assistant, Assistant Lecturer au Lecturer in oneday? Watu wapigwe Oral wote.
Utumishi wasimamie mitihani zote hadi Written.
 
Mie nakusaidia oral mkuu jiandae na topic moja unaijua vizuri utapewa karatas Kama mtakua wengi utaambiwa uchague topic na u present na u assume Kama panel ni wanafunzi unawafundisha so utaandika maelezo we then mtakusanya karatas msubri kuitwa interview ukiingia watakuambia usamarize ulichoandika kwenye karatas baada ya hapo utapigwa swali moja kulingana na ulichopresent jiandae na important ya topic Yako, baada ya hapo ni introduce you self and your education background, baada ya hapo ni maswali mengine Kama mawili hivyo interview inaisha so ni hicho nachojua mie sina nodo za written kwa sababu ya kada tofauti na niliyosomea mie
Tutorial hakuna hicho kitu. Wapo wengi. Ni mchujo kwanza, Written, paper jiwe.
 
Wewe Elewa. Mm nimepiga moja. Walio itwa kazini, address zao wote ni wa Mkoa ule tu. (Why?). Mwaka huu ndio wamebadili mfumo. Zamani tulikuwa tuna piga paper za utumishi General Questions. Sasa hivi vyuo vinatunga maswali na wana sahihisha wao. Matokeo wana wapa watu wa utumishi kutangaza tu. Ni upuuzi mtupu. Vyuo vina watu wao. Paper utadhani kukomoana. Maswali mengiiiiii na mareefuuuuuu utadhani kukomoana. Hivi mtihani 1 wa kuandika umchuje Tutorial Assistant, Assistant Lecturer au Lecturer in oneday? Watu wapigwe Oral wote.
Utumishi wasimamie mitihani zote hadi Written.
una shauri vipi sasa Mr
 
Habarini wana jamiii forums, nipo kuomba tena msaada. Nimekuwa shortlisted kwenye kada ya TUTORIAL ASSISTANT chuo cha Open University.

nilitaka kutambua maswali gani huwa yanaulizwa kweny hii Position kiujumla.
Nina siku 4 tu za maandalizi sielewiii nianze kushika lipi.

Natanguliza shukrani wakubwa.
Tutorial Assistant ni kazi ya kufundisha chuoni, kwa namna yoyote huwezi kuulizwa maswali nje ya field uliyoomba.

Yani ni full mtihani kama ilivyo darasani.. hivyo both written and oral interview itabase ktk field uliyoomba kufundisha.
 
Sina uzoefu wa usahili wa maandishi ila nakushauri upitie job descriptions na uweze kujikumbusha mambo muhimu unayohisi yanakutatiza.

Pia kwenye kufundisha pitia teaching methodology(utachimba kadri utakavyoweza)

Jikumbushe mambo ya ethics ya kitaaluma kwa mtumishi.

Ukiwa unajikumbusha hayo yote, jikumbushe pia mambo ya Chemia kwa ujumla uliyojifunza.

Wengine wenye uzoefu watakusidia zaidi.

Hongera sana kwa kuitwa, unaenda kupata uzoefu wa mambo yanavyoenda
Asisahau research
 
Hivi kazi zote walizotangaza.kozi hizo si wanafunzi wapo waliozisoma palepale OUT? Kama ni hivyo na wao ni waamuzi wa mwisho,sijui kama nje ya OUT watapata.
 
Yeah that's true boss, Hivi ukiingia kwenye website Ya ajira portal majina unayaonea sehemu Ipi ? Nitoe ushamba ndugu yangu
Andika anwani inayooneka hapo halafu ikifunguka bonyeza kwenye News update, utaona matangazo ya kazi, usahili na placements
Screenshot_20220811-162853.jpg
 
Hivi kazi zote walizotangaza.kozi hizo si wanafunzi wapo waliozisoma palepale OUT? Kama ni hivyo na wao ni waamuzi wa mwisho,sijui kama nje ya OUT watapata.
Wakuu wa Idara au walimu kwenye Idara lazima wawaguide wanafunzi waliosoma hapo na wenye sifa wanapewa ila inahitaji kupambana sana kama haujulikani(hujasoma hicho chuo)
 
Hivi kazi zote walizotangaza.kozi hizo si wanafunzi wapo waliozisoma palepale OUT? Kama ni hivyo na wao ni waamuzi wa mwisho,sijui kama nje ya OUT watapata.
Hapana Mkuu kuna Coz hawatoi hapo OUT.
kmaa Bachelor of Science in Physics, Bsc Chemistry, Bsc Nutrition na Bsc Botany
 
Back
Top Bottom