Mkuu
Sarahani , jee unanijua in reality na unayajua mahusiano yangu na Zanzibar?. Niichukie Zanzibar kwa lipi?!. Kosa langu ni kuwaeleza ukweli.
Ukiwa ni mtoto unayeishi nyumbani kwa baba na mama kula kulala, ukitaka kukopa mkopo ambao lazima baba akudhamini, hatua ya kwanza ni lazima kwanza umshirikishe baba ambaye ndie mdhamini.
Ukijiendea na kujikopea, huku ukitegemea dhamana ya baba, ukinyimwa, usilalamike!.
Nyumba nyingi, wazazi wengi, wafanyabiashara wengi wenye dhamana zao, wanakopa bila kuomba idhini ya yeyote. That is Tanzania.
P