mnyandzombe
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 245
- 194
Inasemekana wanawake wana maneno yanayofikia 24000 kuwasemesha
waume zao,sasa kama wewe ni mtoro nyumbani kwako,
siku unayoshinda nyumbani jiandae kukutana na maneno
24000X siku ulizokosekana nyumbani.
Ushauri ni baada kwamba baada ya kazi tumia muda
mwingi kukaa na mkeo,automatically
hutasumbuliwa na mke wako😉
Ni kwel kabsaaaMda mwingine yanaleta raha yakizid sna yanakuwa kero
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sasa ujichanganye ukaangalie naye [emoji460][emoji460][emoji460] mpira
Utasukia mbona kipa haiend kufunga sijui mbona huku ronaldo hayupo wakati unaangalia azam na yanga
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mtafutie kidaftafi mengine awe anaandika, pia mfundishe kuipenda Google itakupunguzia kero.
Namba ya Faiza fox unayo?!Embu nipe namba zake huyo,anatakiwa apate tiba ya kisaikolojia na Kama usiponipatia namba zake tatizo linaweza likawa kubwa mpaka mwishowe atakua anauliza maswali midoli. Hivyo basi unatakiwa unipe namba zake haraka kabla ya tatizo kuwa kubwa !!
By Dk.
Sasa ujichanganye ukaangalie naye [emoji460][emoji460][emoji460] mpira
Utasukia mbona kipa haiend kufunga sijui mbona huku ronaldo hayupo wakati unaangalia azam na yanga
Mkeo anapenda communication na wewe, anatamani muongee kwenye movie umwambie hiki umwambie kile kama unaona kero basi acha waongeaji watamuongelesha.......
Embu nipe namba zake huyo,anatakiwa apate tiba ya kisaikolojia na Kama usiponipatia namba zake tatizo linaweza likawa kubwa mpaka mwishowe atakua anauliza maswali midoli. Hivyo basi unatakiwa unipe namba zake haraka kabla ya tatizo kuwa kubwa !!
By Dk.
Aaah kumbe unalinganisha tu, haya msalimie sana mkeoNampenda sana na namheshimu mke wangu tena sichoki maswali yake ila nilitaka kujua kama hata wanaume wenzangu wanakutwa na hili
Nimeufungua chap nikijua n Yale ya umetembea Na wanawake wangapi kabla yangu nimebaki kucheka hahhahahhhhha bora wewe umeona hiliMwanamke akinuna nyumba haina raha, hakukaliki