Maswali ya usahili Tume ya Madini

Maswali ya usahili Tume ya Madini

TEMAKA

Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
23
Reaction score
21
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mwenye maswali ya usahili Uhandisi wa Uchimbaji Madini (Mining Engineering II) naomba anisaodie.

Natanguliza shukrani.
 
Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa maswali ya written exam wa Tume ya Madini kitengo cha Technician II (ELECTRICAL) anisadie maana interview za utumishi inasemekana unaweza kuulizwa vitu hata ambavyo havihusiani na fani yako.
 
Back
Top Bottom