Maswali mengine yaliyopo kwenye dodoso yanahitaji just observartion ya karani na si lazima akuulize vitu vyote. Kwa mfano, kujua nyumba imeezekwa bati au nyasi or kujua kama nyumba yako ina umeme au haina, kujua unapata huduma ya maji safi au la si lazima akuulize, akifika tu nyumbani kwako anaona. So ukiona umeulizwa maswali machache ujue the rest ameyaobserve mwenyewe na kuyajaza.
Mbona Watu wa Mjini Tuliambiwa tutaulizwa maswali mengi zaidi ya 63 lakini mimi nimeulizwa maswali Nane tu oi au Wamechukua vilaza kuwahesabu watu so wameshindwa kusoma vipengele vingi...
1. Jina lako? Duduwasha
2.Umri wako?Old Enough
3.Una Mke? Sijaoa Kwa nini Bahati bado haiafika akacheka! Mdada huyo...
4.Mpo wangapi kwenye kaya yako? Mmoja
5.Una Ulemavu wowote? Sina
6.Unasoma Elimu yako? Chuo nimemaliza! - Nakumbuka Kikwete amesema akimaliza uraisi ataanza kusoma tena? Sijui atasomea wapi au Nje! USA kama sumaye! Tutakimbiwa
7.Upo kwenye mfuko wowote wa Jamii? Ndiyo NSSF Ila wafikishie ujumbe nataka niache kazi niendeleze biashara mafao yangu nayataka yote
8.Una mtu yeyeto aliyesafiri nje ya Nchi? Mdogo wangu amesharejea na ataondoka tena karibuni
Nikawauliza una Yameisha? Wakasema Ndiyo? Nikashangaa! Manake walisema kutakuwa na maswali zaidi ya 60
questionnaire and observation sheet ni vitu viwili tofauti. Hapa mtoa mada anauliza kuhusu questionnaire!
Mbona Watu wa Mjini Tuliambiwa tutaulizwa maswali mengi zaidi ya 63 lakini mimi nimeulizwa maswali Nane tu oi au Wamechukua vilaza kuwahesabu watu so wameshindwa kusoma vipengele vingi...
1. Jina lako? Duduwasha
2.Umri wako?Old Enough
3.Una Mke? Sijaoa Kwa nini Bahati bado haiafika akacheka! Mdada huyo...
4.Mpo wangapi kwenye kaya yako? Mmoja
5.Una Ulemavu wowote? Sina
6.Unasoma Elimu yako? Chuo nimemaliza! - Nakumbuka Kikwete amesema akimaliza uraisi ataanza kusoma tena? Sijui atasomea wapi au Nje! USA kama sumaye! Tutakimbiwa
7.Upo kwenye mfuko wowote wa Jamii? Ndiyo NSSF Ila wafikishie ujumbe nataka niache kazi niendeleze biashara mafao yangu nayataka yote
8.Una mtu yeyeto aliyesafiri nje ya Nchi? Mdogo wangu amesharejea na ataondoka tena karibuni
Nikawauliza una Yameisha? Wakasema Ndiyo? Nikashangaa! Manake walisema kutakuwa na maswali zaidi ya 60
Sensa na maajabu yake:mimi niliulizwa maswali mengi mfano:una pasi ya mkaa,una pasi ya umeme,friji je,simu ya mkononi,kompyuta?kuna mlemavu?etc kwa ujumla nilishangaa kidogo na nilipommuliza alinieleza kuwa kuna dodoso fupi na refu na kwamba mimi ameniuliza kwa dodoso refu,then nikamuuliza mnatumia vigezo gani kuhoji wengine kwa dodoso fupi na wengine kwa dodoso refu akasema makarani wamegawanywa kundi la dodoso fupi na kundi la dodoso refu,hivyo inategemea ni karani yupi amewahi kufika kwako.Mimi sielewi ni kwanini maswali yawe tofauti katika sensa ile ile,wnegine waulizwe dodso fupi ya maswali tisa na wengine dodoso refu la maswali 54,tafadhali mwenye ufahamu wa mambo haya ya sensa anieleweshe logic ya hii kitu maana niko gizani.
Dodoso Fupilitakuwa na maswali 37 na Dodoso Refu litakuwa na maswali 62. Mahali ambapo Dodoso Fupi litatumika kuhesabu watu Dodoso Refu halitatumika, na pale ambapo Dodoso Refu litatumika Dodoso Fupi halitatumika. Asilimia 70 ya maeneo ya kuhesabia watu yatatumia Dodoso Fupi
Maswali mengine yaliyopo kwenye dodoso yanahitaji just observartion ya karani na si lazima akuulize vitu vyote. Kwa mfano, kujua nyumba imeezekwa bati au nyasi or kujua kama nyumba yako ina umeme au haina, kujua unapata huduma ya maji safi au la si lazima akuulize, akifika tu nyumbani kwako anaona. So ukiona umeulizwa maswali machache ujue the rest ameyaobserve mwenyewe na kuyajaza.
Hii sensa moja ya nchi moja? Mbona maswali tofauti?
Au mzaha huu?
Yeah, kuna dodoso fupi (maswali 37) na dodoso refu (maswali 62). Kuna maswali mengine anatumia tu uzoefu na common sense. Kwa mfano, akiuliza elimu yako na ukamjibu first degree, haoni sababu ya kukuuliza "unajua kusoma na kuandika?". Lakini kwenye dodoso, elimu yako niswali moja na kujua kusoma & kuandika ni swali jingine.
KUna mtu kaulizwa jinsi yake!Maswali mengine yaliyopo kwenye dodoso yanahitaji just observartion ya karani na si lazima akuulize vitu vyote. Kwa mfano, kujua nyumba imeezekwa bati au nyasi or kujua kama nyumba yako ina umeme au haina, kujua unapata huduma ya maji safi au la si lazima akuulize, akifika tu nyumbani kwako anaona. So ukiona umeulizwa maswali machache ujue the rest ameyaobserve mwenyewe na kuyajaza.
Sasa wenyewe wapo Busy unataka niwaulize eeh! na mimi pia nilikuwa mbio mbio... Nilimuuliza Hapo ndio mwisho wa maswali akasema Ndio... Wewe ulitaka niendelee au nimbishie?? wewe RGforever hujaacha kunywa Wanzuki! tuULIMUULIZA KWANINI?
1. Hawezi kukuuliza kama wewe ni albino wakati anakuona siyo
2. Kama ni Mwanafunzi wa chuo huwezi kuulizwa unamifugo mingapi
Maswali Mengine hawezi kukuuliza kutokana na mazingira yako. Na uwe unamuuliza ili akufafanulie siyo kuja Kulalamika JF
Kwahiyo ningesikiliza Vizuri ningepata nini? na hapo sikuweka tu sahihi alisoma kwenye karatasi zake una mke? kisha akasema uomeoa? nikajibu Sijaoa.Hata wanaotoa majibu kama wewe hamsikilizi maswali vizuri; hivi jibu la 'una mke?' ni 'sijaoa?'. Mfuko wa jamii au mfuko wa hifadhi ya jamii?