baunsa wa kike
Member
- Jul 25, 2014
- 83
- 36
Jamani kwa wale wadau ambao tumeitwa interview NSSF mwenye idea ya maswali yanayoulizwa kwenye iyo interview tuje tudiscuss hapa,au kama unakumbuka position description tupeane hapa,..najua maswali hayatakua exactly like here but tupeane ideas alafu at the end of the day kwenye mtihani unachanganya na akili zako za kuzaliwa ,haimaaninishi kama ukuleta idea hapa tutakuzidi au tutakupita najua kila mtu ata gain na kupata kitu kipya. karibuni waDAU WAPENDWA
1. Wewe ni muumini wa dini gani?
Je ushawahi kupata kichaa
1. Wewe ni muumini wa dini gani?
Mleta mada msaada tafadhali,email inasema nini?,mimi nimetumiwa sms pekee,itakua saa ngapi?
Tarehe 13 interview ifm ni written wameandika na serial namba na post ulioomba,mbona hio ya msg mi cjackia umetumiwa lini?
Nimetumiwa leo sms inaeleza yote uliyoyasema kasoro serial namba ndio haina na mwisho inasema for more details read your email. HR department NSSF.
Nimetumiwa leo.Naomba kujua muda ni saa ngapi kwa sababu kwenye sms hawajataja muda.Umetumiwa lini?
inasema uende interview kwa post hio ulioomba mahali wanataja na muda na pia kua ni interview ya written na serial namba wanakupa
Umetumiwa lini?
inasema uende interview kwa post hio ulioomba mahali wanataja na muda na pia kua ni interview ya written na serial namba wanakupa
Hiyo serial number wanasemaje itatumika wakati wa interview!?Maana kwangu nahisi ishakua ngumu email sijapata bado!