Je kwa mtu aliyegraduate labda miaka 6 iliyopita lakini hakuwahi kupata ajira anaweza kuhudumiwa na taesa? Pia je wanataka watu wenye degree au hat diploma? Pia vipi unaweza kujisajili kwao kwa kuwafuata ofisini bila kupitia online? Kwa Dar ofisi zao ziko wapi?