Maswali ya interview TAESA

Hili swala limezungumziwa so angalia nyuzi zilizopita,Ila kwa jinsi ninavyosikia ni kwamba maswali mengi utaulizwa Yale uliyofundishwa training ya jinsi ya kujibu interview,Zen na kuhusu professional yako
Sawa Asante nimepitia uzi sijaona maswali yaliyojibiwa
 
Huwa ni yale yale
Kuanzia ww kujieleza na elimu yaki
Halafu wanahamia kujua unaelewa nn kwenye course uliyosoma
Over
 
Sidhan maana Ile nahis ni kupima Tu uelewa wako juu ya training Yao Ila wako vizuri sana binafsi Jana nimekuwa mmojawapo tuliopata training na interview nimejua mengi Sana, Taesa wako vizuri sana
Sawa
 
Inafeli vizuri kabisa na unarudia interview,
Mkishafanya interview baada ya siku moja kwenda mbele muangalie kwenye account zenu huwa wanaweka matokeo
 
Kumbe sawa
 
Ok...ngoja tusubirie matokeo, asante kwa taarifa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…