Yapo mengi tu, ingia kwenye website ya Maktaba Tetea halafu select past papers za A-Level, utaona mitihani ya masomo yote likiwemo na biology.Please mwenye maswali yanayohusu enzymes kwa kidato cha sita from past papers anisaidie hata matano tu nione namna ya detailed questioning???