Maswali ya Aptitude Test NMB yanakuwaje?

Maswali ya Aptitude Test NMB yanakuwaje?

wynejosee

Senior Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
148
Reaction score
59
Mambo vp wadau,
Naomba kuuliza maswali ya Oral nmb kwa post ya bank officer maswali huwa yanakuaje? Ni ya kusoma au kutumia akili tu?

Nashukuluni kwa msaada wenu mliotoa katika mtihani wa aptitude test nmb.....sasa nimeitwa oral, nisaidieni tafadhari.
Ahsante
 
Naomba msaada mie mwenyewe sielewi ndio maana nimeuliza!
 
Ahsante sana, japo bado naitaji mawazo mengine kama yapo!
 
soma product zao uzielewe alafu ujue hata branch tano za zone unayofanyia interview kwa majina mengne ya darasani kdg
all the best mkuu
 
Kuna test mpya sasa inaitwa AMCAT Employability Assessment. hiyo ndo iko in sasa Tanzania. Unaweza kufanyia nyumbani kama upo kwenye mtandao na unaingia kwenye.
Test ni bure.Watu wanapata kazi ile mbaya kupitia hii test!
 
Ahsanteni kwa ushauri wenu kutoka ndani ya mioyo yenu!
Japo kama kuna ushauri zaidi tuendelee kueleweshana!
 
Kuna test mpya sasa inaitwa AMCAT Employability Assessment. hiyo ndo iko in sasa Tanzania. Unaweza kufanyia nyumbani kama upo kwenye mtandao na unaingia kwenye.
Test ni bure.Watu wanapata kazi ile mbaya kupitia hii test!

Unaweza kunipatia link mkuu?
 
Mambo vp wadau,
Naomba kuuliza aptitude test za nmb kwa post ya bank officer maswali huwa yanakuaje? Ni ya kusoma au kutumia akili tu?

Mi niliwahi kufanya NBC pale headquarters walitupa mahali ya hesabu 10 pamoja na language 10 ila yapo kimtego sana unatakiwa uwe makini sana kwenye kujibu
 
Back
Top Bottom