FAIRATTORNEY
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 219
- 61
uanasheria wako haukusaidii kitu, unajuaje mimi ni dogo, pia nakupa maswali serious unasema ni habari za kijiweni
Maswali serious wapi upuuzi tu huo. Ni seneta gani mtaje, nini hoja zake, nani anamwakilisha Mungu, hoja zipi zinajadiliwa mbele ya mahakama? Hicho unachokisema nafahamu kuwa ni filamu ipo itafute hata You Tube, lakini kwenye uhalisia hakuna kitu kama hicho.