Maswali usahili wa Hakimu Mkazi II

Maswali usahili wa Hakimu Mkazi II

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Ndugu wanajamii.

Kwa wale wote ambao ni mahakimu naomba wanisaidie yafuatayo: moja usahili hufanyika Mara moja tu au Mara mbili? Yaani huwa kuna kuwa na oral interview and written? Pili huwa wanapendelea kuuliza maswali gani? NA la mwisho kwa wale walioajiriwa kama mahakimu WA kazi primary court je wanafanya kazi kwa mujibu WA MCA au 3 schedule of MCA? Primary court rules.

NA submit.
 
Ndugu wana jamii. Kwa wale wote ambao ni mahakimu naomba wanisaidie yafuatayo: moja usahili hufanyika Mara moja tu au Mara mbili? Yaani huwa kuna kuwa NA oral interview and written? Pili huwa wanapendelea kuuliza maswali gani? NA la mwisho kwa wale walioajiriwa kama mahakimu WA kazi primary court je wanafanya kazi kwa mujibu WA MCA au 3 schedule of MCA? Primary court rules.

NA submit.

ukiletewa kesi kua gavana wa bot kakwapua BILIONI 200 na kapewa baraka na ngazi zote za juu serikalini ili hiyo hela itumiwe na CCM........toa hukumu kwenye hiyo kesi
2..kuna kiongozi mkubwa wa serikalini aliyekua WU zamani unaletewa kesi kua kabaka na kumwambukiza mtu ukimwi na ushahidi wote upo utahukumuje?.....
3..Wewe ndio hakimu kwenye kesi ya mwanamziki maarufu toka DRC aliyewekwa ndani kwa kusingiziwa na kiongozi mkubwa wa ccm kua kabaka na kulawiti watoto na unajua ukweli wa mkanda mzima....UTATOAJE HUKUMU?...
ukijibu vizuri hayo maswali umepita
 
By the way, how many interview to be held? Is there a written and oral interview?
 
ukiletewa kesi kua gavana wa bot kakwapua BILIONI 200 na kapewa baraka na ngazi zote za juu serikalini ili hiyo hela itumiwe na CCM........toa hukumu kwenye hiyo kesi
2..kuna kiongozi mkubwa wa serikalini aliyekua WU zamani unaletewa kesi kua kabaka na kumwambukiza mtu ukimwi na ushahidi wote upo utahukumuje?.....
3..Wewe ndio hakimu kwenye kesi ya mwanamziki maarufu toka DRC aliyewekwa ndani kwa kusingiziwa na kiongozi mkubwa wa ccm kua kabaka na kulawiti watoto na unajua ukweli wa mkanda mzima....UTATOAJE HUKUMU?...
ukijibu vizuri hayo maswali umepita
Hakika ukiweza kutoa hukumu kwa hizo kesi ushapita kwa hiyo interview, namba 3 imenikumbusha mbaliiiiiiiiiiiiii, ivi jamaa bado tu wanaozea segerea.
 
Ndugu wanajamii.

Kwa wale wote ambao ni mahakimu naomba wanisaidie yafuatayo: moja usahili hufanyika Mara moja tu au Mara mbili? Yaani huwa kuna kuwa na oral interview and written? Pili huwa wanapendelea kuuliza maswali gani? NA la mwisho kwa wale walioajiriwa kama mahakimu WA kazi primary court je wanafanya kazi kwa mujibu WA MCA au 3 schedule of MCA? Primary court rules.

NA submit.

kuna seneta usa kaenda mahakamani kumshitaki MUNGU why analeta natural disasters mbalimbali ungefanyaje kama wewe ndo hakimu hapo?
 
Unafanya written exam kwa 10mins HC then mnawekwa kipanel iwe kuna wa HC na COA..zingatia Muda maana kuna batch ya asubuh na ya mchana.beba vyeti yako vyote original
 
Maswali km umeenda law xkul utayamudu cz ni how to serve a summons.. Na hizo territory jurisdiction etc confidence yako ndo itakuokoa kuwa smart opened unajua ethnic za mwanasheria
 
Unafanya written exam kwa 10mins HC then mnawekwa kipanel iwe kuna wa HC na COA..zingatia Muda maana kuna batch ya asubuh na ya mchana.beba vyeti yako vyote original
 
Madam bee nashukuru. Hyo written ya dk 10 huwa wanauliza nin?
 
HC NA COA unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom