Maswali tegemezi.

Ibrahimovic

Member
Mar 23, 2011
39
7
(a)utamuwekaje twiga ndani ya jokofu(fridge)? (b)utamuwekaje tembo kwenye jokofu? (c)kulikuwa na mkutano na wanyama wote walishiriki kasoro mmoja,we unadhani ni yupi hakuwepo mkutanoni? (d)Mama alikuwa na mwanae mgonjwa anampeleka hosipitali,lakini ili afike hospitalini inambidi avuke mto na huo mto una mamba wengi wakali,je atanyaje ili avuke mto na mtoto yuko mahututi? ANGALIZO;majibu ya maswali haya yanategemeana na yapo kimtiririko.
 
(a) Utafungua jokofu na kumweka twiga humo. (b) Utamtoa twiga kutoka kwenye jokofu kisha utamweka tembo. (c) Tembo hayuko kwenye mkutano, si ulimweka kwenye jokofu!? (d) Avuke tu ampeleke mwanae hospitali, mto uko salama, mamba wote wako kwenye mkutano!
 
yeah, you did it, congratulations!
 

Mkuu hongera
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…