Maswali ni mengi kuliko majibu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
baba kabeba nini? Mama yuko wapi? Hao watoto wanaokota nini!? Ni wa familia moja? Wanatoka/ wanaenda wapi?
 
Dah.........Inasikitisha,Leo hii Nimekutana na watoto Maisha dizaini hiyo maeneo ya Igoma Mwanza nikajiuliza maswali mengi Bila majibu.......yataisha Lini haya,watasoma Lini Hawa,watafurahia Maisha Lini Hawa?
Mungu ndiye anajua.
 
View attachment 212290baba kabeba nini? Mama yuko wapi? Hao watoto wanaokota nini!? Ni wa familia moja? Wanatoka/ wanaenda wapi?

Baba kabeba mzigo
Mama yupo nyumbani
Hao watoto wanaokota kile kiwafaacho
Ni wa familia moja pamoja na baba yao
Wanatoka kutafuta viwafaacho wanakwenda nyumbani.
****HAYA MAISHA SI YA KUYACHEKA, IPO SIKU NAO MUNGU ATAWAFUTA MACHOZI YAO****
 
embu fikiria mtoto wa Anna Tibaijuka, Chenge n.k wako wap? ukipata jibu nyamaza! usiniambie.
 
Swali jingine lakini la msingi, je wakati anawapata/anazaa watoto wote hao alijua namna ya kuwatunza (kama ni watoto wake)?

Uzazi wa mpango hutakiwa kuzingatiwa sana, sio kwa kuwa una bunduki na risasi za kutosha basi ni kufyatua fyatua tu holela..
 
Ndio maana ninagombana mno na watu wanaofuja, kuharibu au kutupa chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…