myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,145
Kombora lililobeba bom ili lisipeleke bom lilipokusudiwa, kama halina bom na liende tu!Ule nitambo wakudungulia mkombora na sio mabom.ndomana mtambo wa thaad unadungua kombora ambalo halijaachana na bom.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kim ni baboon, hawezi kupambana na mfalme wa nyika.Marekani ni mjanja wa propaganda kafail kudetect hilo kombora anakuja na utetezi wa kijinga.....
trump labla afanye mageuzi makubwa sana kwanza kwenye jeshi lake lililo jaa mashoga...
Kim mda si mrefu atatupa kombora kwenye kisiwa cha Marekani cha Guam...... Trump achana na N.K
Namaanisha kombor lililobebeshwa bomu, sio empty kombora. Nielewe kiivo. AhsanteKombora lililobeba bom ili lisipeleke bom lilipokusudiwa, kama halina bom na liende tu!
wanachokifanya North Korea ni kuithibitishia dunia kwamba, kama tunalo kombor lenye uwezo wa kufika hadi Marekani, basi hata tukifunga bomu katika kombora hilo, ni lazima tu litasafirishwa nabkufikishwa kule linkofika kombora. AhsanteElimu nzuri sana. ila ivi jambo kama hili ambalo wew umeweza kuling'amua vizuri na kuliwasilisha humu Jf. Je pale Nk unadhani hakuna wasomi wa kuweza kufikilia na kujua kama unavyojua wewe ikiwa Nk wamefanikiwa kulitengeneza hadi ilo kombora.kimtadhamo tu unadhani wakorea hawana ufahamu au uelewa wa kutambua THAAD aitungui makombora matupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa huu mchoro.
Kwenye Thaad kuna sensa ambayo ina sensi kombora la adui ndipo hujiwasha automaticaly na kuruhusu kombora kwenda kudungua kombora adui. Ahsantehio Thaad Inajuaje kama kombora hilo lina bomu au la, maana haiwasiliani na aliyelituma.
ufafanuzi plizi
Sametfone[emoji23][emoji23]Kwan ww unajuaje kama nyumba ya pili wamepika pilau. Au unajuaje kama leo kuna jua kali??
Kuna vitu vinaitwa sensors. Hata kwenye sametfone yako vipo. Ndio maana uki rotate simu na display inarotate accordingly. Au ukiwa umepokea simu ukaweka sikioni kioo kinazima.
Soo kuna sensors huenda zinasence nuclear, au any contents ambazo zimetumika kama ingredients za bomu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hakuna wabongo wenye akili kuliko Magu!?