Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

Nimeuliza.

Biblia inajibu vipi swali langu?

Biblia inasema kwamba mungu ni mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye upendo wote.

Imekuwaje mungu kama huyu akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika wakati ambapo alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Sijapata jibu la kueleweka.

Kwanza sio "mungu"(god) ni "Mungu"(True God).
 
nielewavyo mimi ni kuwa bible imewaelezea key characters yaan wale ambao matendo yao yalikuwa na impact kwa wanadam wa kizazi kile or vizazi vilivyofuata. so naamini Adam na hawa walikuwa na watoto wengine zaid ya Cain na Abel nao walizaliana na kuwa jamii kubwa maana enzi hizo sera ni kuijaza nchi na kuilima
 
Hujapose idea kwamba quantum physics inasema kila kitu kinawezekana?

Kiranga kuwa mzee na kila kitu juwezekana vina uhusiano gani?

Kwenye quantum pysics kila kitu ni probabilistic maana yake hakuna uhakika. Mungu wako ni wa yhakika, you have not reconciled the two.

Hujajibu swali.

Kama mungu yupo, ana uwezo wote, ana ujuzi wote, ana upendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Alishindwa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Kama alishindwa, je ana iwezo wote?

Ama aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekanj, lakini hakutaka tu?

Kama aliweza ila hakutaka tu, je, ninkweli ana upendo wote?

Aliamua kuumba hivyo.
Upendo ni kwa tafsiri ipi?
 
Nimeuliza.

Biblia inajibu vipi swali langu?

Biblia inasema kwamba mungu ni mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye upendo wote.

Imekuwaje mungu kama huyu akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika wakati ambapo alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Sijapata jibu la kueleweka.

Biblia yenyewe haina jibu.
Lakini chaajabu waamini wake wanalazimisha kuwa biblia ina majawabu ya haya maswali.
Mbona tukiwaambia wayalete hayo majibu hapa hawaleti?
 
Kwanza sio "mungu"(god) ni "Mungu"(True God).

Hatuongelei mungu or Mungu.
Tunaongelea muumbaji wa vyote, mjuaji wa vyote, asiye na mwanzo wala mwisho, aliyeko kila mahali, mwenye upendo mkuu, muweza wa vyote. Umeelewa?
 
God is a complex entity to be understood by human rather than the universal which according to the modern scientists has got a simple begging...
 
Adamu ni nani?

Alikuwepo kweli au ni story tu?

Tutakuwa na uhakika vipi kwamba alikuwepo kweli na si character tu kama Willy Gamba wa Aristablus Elvis Musiba?

Acha stori za TUTARUDI NA ROHO ZETU,KIFO MKONONI,DUNIA UWANJA WA FUJO nk. Ukitaka kuamini kuwa yote yapo nenda Israel ujionee mahali YESU alipovuja jasho la damu kuwa damu zipo ktk jiwe lile, mnara wa chumvi, safina ya Nuhu n.k usiwe Thomaso
 
Hatuongelei mungu or Mungu.
Tunaongelea muumbaji wa vyote, mjuaji wa vyote, asiye na mwanzo wala mwisho, aliyeko kila mahali, mwenye upendo mkuu, muweza wa vyote. Umeelewa?

Sasa ukiandika mungu unakuwa unamaanisha shetani na sio Mungu wa kweli. SOMA 2WAKORINTHO 4:4 na 2WAFALME 1:1-2 kujua tofauti hizi
 
Hahahah...! maandiko yanasema "Ukishindwa kuwa mimi basi na uoe kuliko kuwaka tamaa" Hapo bado hujapata jibu?

Tuache longolongo

Kwanini mungu mwenye uwezo wote, upendo wote, muumbaji wa vyote. Kaumba ulimwengu ambao mabaya ya kila aina yanawezekana, wakati uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani alikuwa nao?
 
Biblia yenyewe haina jibu.
Lakini chaajabu waamini wake wanalazimisha kuwa biblia ina majawabu ya haya maswali.
Mbona tukiwaambia wayalete hayo majibu hapa hawaleti?

Hawatakaa wakubali. Cha zaidi watakumbia wee ni shetani mungu hachunguziki kwa akili za binadamu..sasa sjui wao wanamchunguza na kumwamini kwa akili za nani?
 
Hawatakaa wakubali. Cha zaidi watakumbia wee ni shetani mungu hachunguziki kwa akili za binadamu..sasa sjui wao wanamchunguza na kumwamini kwa akili za nani?

Biblia yenyewe wamesoma nusu nusu kwa kutumia nidhamu ya uoga,
Alafu wanakuwa na msimamo utadhani wana uhakika
 
Back
Top Bottom