Maswali muhimu wanayouliza kwenye usahili wa civil technician

Yudatade Edesi Shayo

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
2,903
4,308
naombeni msaada wenu.kwa anayejua mambo muhimu,kwenye interview ya civil technian.ni mambo gani ana paswa kuyajua kabla hajaingia room ya kutahiniwa??possible question plz!na tumaini ntapata msaada stahiki.
 
Maswali inategemeana na job description ndugu yangu, hasa kwenye main duties utakazopaswa kwenda kufanya.

Kuna kipindi tulikuwa tunatafuta Civil Tech kwa ajiri ya kazi kubwa mbili. Kuchora michoro kutumia autocad na kurepair non-functioning boreholes. Niliwaambia HR people waniachie hiyo kazi. Tulianzia site nione candidates wapoje. Kurudi ofisini nikawapa laptop na mchoro waureproduce. In 1 hour I got my suitable candidate.

So, bwana mdogo, pitia tena hiyo JD na tegemea lolote.
 
nimekulewa eng!!ni kazi ya mizani
 
Back
Top Bottom