Maswali muhimu kuhusu Lowassa


Kama ulikaa ukafikiri ni moja kwa moja ulifikiri kwa kutumia makalio. Pambaf
 
Kama ulikaa ukafikiri ni moja kwa moja ulifikiri kwa kutumia makalio. Pambaf

Kweli vijana wa UKAWA n wagonjwa wa maadili
Kaz yao kutukana tu



TAHADHARI= kuna ugonjwa umeingia hapa nchini, ugonjwa huu unaitwa UKAWA, dalili zake ni ukosefu wa maadili kwa vijana, uroho wamadaraka, ukabila,ukiukwaji wahaki, kama upatapo dalili hizo jua umepata ugonjwa huo,umewapoteza watu muhimu kama Dr.silaa na Pr.lipumba dawa zinapatikana katika ofisi zote za CCM ambazo zipo nchini kote zikiongozwa na mtaalam wa ugonjwa huo Dr JONH POMBE MAGUFULI.
 

Sikiliza ndugu yangu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri na ukadhani wote tunapaswa kufanana na wewe.

Hapo kwenye RED kunaonesha ukomo wako wa fikra. Tanzania ina ardhi kubwa kiasi gani isiyotumika mpaka useme tatizo la ajira halitatuliki? Au MADESA yanakufanya ufikiri Buguruni tu unapoishi?

Jiji la Dar es Salaam peke yake, lina watu walio kwenye ajira isiyo rasmi si chini ya 1,800,000. Watu hawa wote hawalipi kodi, au hata wale wanaolipa ushuru huishia kwenye posho za vikao vya Halmashauri. Nakupa tu changamoto, tafuata calculator unihakiki.

Watu 1,800,000 walipe just 1000 kwa wiki kutoka kwenye biashara zao za Mama Ntilie, Boda Boda, Mitumba, Mihogo, Samaki n.k = 1,800,000,000. (1.8bn)

Hiyo Bilioni moja nukta 8, izidishe kwa wiki 4, yaani iwe mwezi. Hapa utapata 7.2bn, sasa assume 1.2bn ziishie kwenye gharama za makusanyo, kwamba tumebaki na 6bn. Kama una uwezo wa kukusanya 6bn kwa mwezi na ukazirudisha pale pale zilipokusanywa kwa mandeleo ya waliozichanga (zingatia kwamba kodi ikiwa ndogo huwa rafiki) basi kuna kitu kinaweza kufanyika.

Kwa mwezi mmoja, tunaweza kununua nyumba 10 zilizo karibu na vituo vikuu vya daladala, kuzibomoa na kujnga soko la kutosha wafanyabishara 300. Kama leo tukijenga Temeke, mwezi ujao itakuwa zamu ya Keko, by the way, hata masoko mawili yanaweza kujengwa kwa mwezi mmoja. Ukiweza kuwawekea paa watu uliokuwa unawachaji 1000 kwa wiki, unayo basi sababu ya kuwachaji 2000 kwa wiki.

Nikukumbushe pia, ni nchi hii ndio kinara wa kugombania mazao na wakulima ilhali serikali haina mashamba yake. Huko ndio kwenye ajira hasa, lkn MADESA yanawafanya muamini kwamba kamwe haiwezekani.

Kuhusu kwa nini fulani anang'ang'ania madaraka, hili ni swali la kuwauliza CCM pia. Kama kwa miaka yote serikali ya chama kile kile ipo madarakani, mbinu zake ni zile zile za kuongeza kodi kwenye BIA na SIGARA na kukamua P.A.Y.E bila huruma, kwa nini wasifikirie kukaa pembeni?

'Chama kilichomlea'......how pathetic? Yaani wewe unaishi kwa fatherhood sympathy? Amsha kichwa ndugu yangu. Hii nchi haikupaswa watu kuuana sababu ya ardhi.
 
Labda tu nimfahamishe mtoa mada, Tembulukoje, na wengine waliopofushwa na usanii wa CCM kuwa serikali hii hii ya CCM iliridhia na hivyo kuwajibika kutekeleza, pamoja na mambo mengine, Malengo ya Milenia ambayo yalipaswa yawe yametekelezwa katika kipindi 2000-2015. Kuhusu ajira, serikali ilipaswa iwe imetimiza lengo hili kufikia 2015: "Target 1.B: Achieve full and productive employment and decent work for all, including women and young people". Je ni kwa kiasi gani hili lengo limetekelezwa? Hao aliowataja mtoa mada wanafahamu jibu na ndio maana wanatambua kuwa serikali ya CCM imeshindwa kazi na inapaswa ipigwe chini 25/10/15. Are there any 'great thinkers' worth the name who don't realise this?
 
We si boda boda ulilipwa hela yako ya mafuta??

Mabadiliko ya dhati hayasubiri kulipiwa....
Na jinsi mlivyozoea hela za takrima sina uhakika kama Dr. Magufuli anazo za kutosha...

"TOROKA UJE....HUKU KUNA UHURU KAMILI"
 

Tuwaache wachumia tumbo wa Lumumba buku saba mfe mzikane 25 Oct baada ya hapo nitakusabahi nijue umekufa na umezikwa
 


Mm nawashangaa hamtak hata kunijib maswali yangu
Mnakimbilia malengo ya milenia


Ukawa nijibun bas kwa hoja maswali yangu haya


Jibu maswali na hoja zilzomo usikwepe

Utuambie ugonjwa wa kuishiwa nguvu na kutetemeka lowasa ameuanza lin na anaendeleaje

Utuelezea kilichomfanya akatuibia mwaka 2008 nnn?

Utuambue kwann alisema tatzo n uwazir mkuu
Je tatzo litakapokuwa n urais atafanyaje?

Utuambia kwann anabadilika kila leo
Jana akiwa sehem ile ile anasifia
Kesho akiwa kwngine anaponda
Kigeu geu mkubwa

Atuambie klitokea nn mwaka 1995 dodoma?

Mtuambie kama ataweza kufanya mdahalo wa masaa matatu
Akiwa amesimam


la mwsho
Kama anatafuta urais ili apate unafuu wa kutibu maradhi yake
Aseme
Mbona serikali itampeleka tu ujeruman kwenye kliniki yake?
 
Umejitahidi kuandika japo hakuna la maana, endelea kujitahidi labda siku moja unaweza kuandika la maana.
Kwani wewe umechukua fomu ya kugombea uongozi wowote (udiwani, ujumbe, ubunge au urais)? Kama hujachukua basi ni wazi wewe hutaki madaraka ya aina yoyote lakini yeyote aliyechukua fomu katika ngazi yoyote ni wazi ana uroho na anataka madaraka regardless kwa nguvu kiasi gani! Kwa hiyo kati ya woooooooooooooote umemuona EL tu!?
Embu andika hoja (issues) na sio watu, mbali na hapo utabadilika kama akina Polepole na Btku ambao badala ya kuleta hoja wanatwambia juu ya individuals/mtu/EL na Watanzania wenye uchu wa mabadiliko wameanza kuwapuuza tayari.

 


Jibu maswali ndugu
Mnakimbilia mwandiko na hetuf haha


Ndo umeona hapo tu kwenye herufi?

Unadhan kukosewa kwa heruf ndo kunapoteza ujumbe uliomo kwenye text?

Jibu maswali na hoja zipizomo usikwepe

Utuambie ugonjwa wa kuishiwa nguvu na kutetemeka lowasa ameuanza lin na anaendeleaje

Utuelezea kilichomfanya akatuibia mwaka 2008 nnn?

Utuambue kwann alisema tatzo n uwazir mkuu
Je tatzo litakapokuwa n urais atafanyaje?

Utuambia kwann anabadilika kila leo
Jana akiwa sehem ile ile anasifia
Kesho akiwa kwngine anaponda
Kigeu geu mkubwa

Atuambie klitokea nn mwaka 1995 dodoma?

Mtuambie kama ataweza kufanya mdahalo wa masaa matatu
Akiwa amesimam


la mwsho
Kama anatafuta urais ili apate unafuu wa kutibu maradhi yake
Aseme
Mbona serikali itampeleka tu ujeruman kwenye kliniki yake?
 

Kwa kumtaja tu Magufuli unakiri wazi kwamba yupona ni tishio.
 

Chini ya katiba ya sasa hakuna rais nje ya ccm. Hata Ukawa wanajua hilo. Lowasa anataka tu kuonyesha ccm alivyo na pesa na anavyoweza kuwatesa nazo.
 
Jitu gonjwa
Halina nguvu
Fisadi
Tamaa
Saliti
Nafiki
King'ang'anizi

Kwnn anataka sana urais

Huyo atakuwa ana tamaaa

Visasi

Kurudisha gharama zake za uchaguzi

Hatuko tayr kuachilia jizi liende ikulu

Mkuu.....unajielewa kweli? unasema LOWASA ni mroho wa Madaraka Kwanini usiwe we we na CCM yako zaidi ya miaka 50 nabado mnatapeli watu ili mchaguliwe tena.....Unasema Lowasa ni FISADI uligundua lini kuwa ni Fisadi....Naikiwa ni mgonjwa hebu tuwekee vyeti vyake hapa km uthibitisho Vinginevyo peleka Upumbavu wako huko Lumumba
 


Lowasa fisadi bunge lilithibitisha na akajiudhuru mwaka 2008
Hivyo lowasa n baba wa ufisadi aliuasisi mwaka 2008


Lowasa mgonjwa
Afya yake inatia shaka
Hana nguvu za kusimama hata kwa mda wa dakika 30

Na tunaanda mdahalo asimame masaa matatu muone kama hatujaenda monduli

Ushauri
Kama lowasa anahofia gharama ya matibabu Kuongeza asihofu serikali itamtibu tu atulie asije akatugia bure
 
Umetoa hoja mwanangu,potelea mbali la kuvunda halina ubani.Maendeleo ninayoyaona hayalingani na Tz ya miaka 50.iliyopita.Nageuza upande wa pili wa shilingi liwalo na liwe.Sitaki chama cha kifalme hata wapinzani wakilemaa pia tutawatoa.Fikiri kwa mapana ndg.
 
Anayeonekana kung'ang'ania madaraka ni Lowassa tu na sio kina Wassira na wengineo ambao tangu hayati Baba wa taifa wapo madarakani na hawana la kujivunia kwa wananchi
 
Anayeonekana kung'ang'ania madaraka ni Lowassa tu na sio kina Wassira na wengineo ambao tangu hayati Baba wa taifa wapo madarakani na hawana la kujivunia kwa wananchi


Labda kwakuwa lowasa anang'ang'ania madaraka akiwa mgonjwa mahututi
 
TAFAKURI

"Kwann UKAWA na watu wao ni watu wa jazba, matusi, kejeli, ukiwajibu kwa hoja wanaanza matusi

Mimi nilikuwa na mchumba baada kuona yupo Ukawa nikajua hakuna mwanamke hapa. hana heshima, wala nidhamu nikatupa kule.

#hapa kazi tu #
 
JAMBO.MOJA USILOLOJUA KUHUSU JOHN POMBE MAGUFULI.

Siku akiyozaliwa ni tarehe 29/10 na Tume ya Taifa ya Uchaguz imetangaza kuwa baada ya kupiga kura kura zitahesabiwa kwa siku tatu na baada ya hapo rais ataapishwa tarehe 29/10/2015.

Hivyo Rais wetu atakuwa siku anayoapa kuwa rais Siku hiyo hiyo atakuwa akisherekea Birthday Yake. Sherehe mbili ndani ya siku moja. Hapa urais Pale Birthday..



Magufuli
Magufuli
Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…