Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,706
- 8,657
Swali la baadhi ya wananchi;
Mhe. Waziri GwajimaD, hivi hawa wasaidizi wako hawana msaada hadi useme sisi tukuletee matatizo ya nchi nzima wewe?
JIBU: wasaidizi wangu wana msaada mkubwa na wanafanya kazi kubwa sana na kilichotakiwa ni iwapo hamjapata huduma kwao basi, mje rufaa ya malalamiko kuwa, sijahudumiwa. Sasa sivyo ilivyo kwani, baadhi yenu hampiti kwenye utaratibu rasmi wa huko Serikali za Mitaa yenu na Halmashauri na Wilayani na Mkoani mnaamua kuja moja kwa moja kutafuta Viongozi wa kitaifa. Hapa sasa ndiyo changamoto inapoanzia jamani?
MSIMAMO WANGU; Kwa kuwa, abishaye hufunguliwa, mimi hulazimika kufungua milango na mwisho kuwaelimisha na kuwarejesha kwenye utaratibu mliouacha na huko, mnapata huduma kisha mnakuja tena na shukrani nami nawapa tena waliowahudumia.
SWALI KWENU: hapa tulipofikia, mnashaurije? nami nifunge milango kwa abishaye hodi au sasa iweje? Tuboreshe pamoja mwelekeo, tumetoka mbali pamoja✍️🇹🇿
Tunasonga mbele na FAHAMU ELIMIKA CHUKUA HATUA [FAECH].
07 JULAI, 2025.