Hata ukija na kona nyingi nyingi tusha kubaini kuwa wewe ni Ant Lowasa, na kwa taarifa yako tu ni kuwa ndani ya ccm hakuna mtu wa kumpiku Lowasa ktk mbio za urais 2015....
be carefull.....
Hakuna mgombea wa kupita bila kupingwa na upepo huwa unavuma kutoka pande tofauti tofauti KULINGANA NA MAJIRA YA MWAKA, MSIMU NK.