OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Sawa wewe unayejua majina ya nchi zote utajua tuu ile mikono kutetemeka inatokana na nini
Hilo la mkono sijui we ndio unaniambia saizi mkuu
Sawa wewe unayejua majina ya nchi zote utajua tuu ile mikono kutetemeka inatokana na nini
Hilo la mkono sijui we ndio unaniambia saizi mkuu
Love is blind utaona baada ya mwezi 5
Muyanakili
Kwa uhakika hukuyatoa maswali haya ukiwa umetoka usingizini. Yamefanyiwa kazi nzuri. Tukienda hivi, JF kinakuwa kituo kizuri. Umetumia akili nyingi kumbana Lowasa, na hukuonekana kama unamuonea. Umeongea issues za ukweli. Maswali haya ni kisu cha moto kwa Lowasa camp. Nakupa like
Tunaanza kuchana mioyo ya wafuasi kabla ya kuharibu kichwa cheupe
Hayo maswali yamemchukua Diallo miezi 4 kudraft. Poor Diallo
Haya maswali ulipaswa pia uwaulize wagombea urais wote na sio Lowassa peke yake. Kwa nini utake msimamo wa Lowassa tu na sio misimamo ya wagombea wengine wote wa urais. Acha unafiki.
Hata ukija na kona nyingi nyingi tusha kubaini kuwa wewe ni Ant Lowasa, na kwa taarifa yako tu ni kuwa ndani ya ccm hakuna mtu wa kumpiku Lowasa ktk mbio za urais 2015....
haya maswali umuulize pia Membe na wengine sio kila kitu aulizwe Lowassa tu kwani amekuwa mime wenu.
Hayo maswali yamemchukua Diallo miezi 4 kudraft. Poor Diallo
Hujajibu hata moja ocampo unarukaruka tuu
Maswali yameandaliwa kimajungu hivyo nijibu nini?
Jibu kimajungu mkuu au umeishiwaa hadi majungu
Ndiyo walivyotumwa hao vibaraka wa Membe na Pinda.......