Maswali mawili muhimu

HOW- kulikuwa na grease kwenye eneo husika hivyo gari likateleza
WHY-dereva alikuwa kwenye mwendo kasi akashindwa kulimudu gari


HOW-watu walilisukuma hadi hapo
WHY-waweke historia/wasumbue vichwa vyetu

Mmh hebu angalia vizuri Mapi jinsi lilivyofit ukutani na kumbuka hilo ni VX na sio vits au duet aka baby walker
 
Last edited by a moderator:
how...yawezekana kama paking ina underground gari inapandishwa kwa kifaa maaluma watalam mnajua kinaitwaje... why ni salama zaidi
 
Ingekuwa daladala zangu nazopandaga ningeweza kujua ila hayo ni mambo yakizunguu
 
HOW.. picha imetengenezwa tu technologicaly (photoshop) and
WHY... kuwafanya watu wafikiri zaidi (reasoning)
 
Nitajibu WHY, wamepaki hivyo coz hiyo paking tu ni mult lock tosha!
 
why challenging people
how photoshop

jibu lingine mwalimu
how kwa nyuma ya gari kuna mlango
why alitaka kukomoa wenzie
 
HOW- kulikuwa na grease kwenye eneo husika hivyo gari likateleza
WHY-dereva alikuwa kwenye mwendo kasi akashindwa kulimudu gari


HOW-watu walilisukuma hadi hapo
WHY-waweke historia/wasumbue vichwa vyetu

Hao waliosukuma hawakuteleza kwenye grease?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…