1.Shambulio limefanyika baada ya yeye binafsi kulalamika "Publicaly" kwamba maisha yake yapo hatarini na amekuwa akifuatiliwa mara kwa mara na gari fulani.....
2.Kwanini kukamatwa kwake na polisi mara kwa mara kwa makosa yasiyokuwa na "miguu wala mikono" umekuwa ni wa "uvamizi" na kustukiza.....
3. Kauli ya IGP ya jana kwamba eti Rais wa TLS na mpinzani number moja wa Magu hakuwahi toa taarifa polisi, na kwamba yeye ameyaona kwenye mtandao wa jamii...Shubaaamit...mbona ukamatwaji wake sikuzote umekuwa ukitokana na habari alizozitoa kwa njia kama ila ile inayoitwa ya mitandao?! Atueleze nini maana ya polisi jamii....
4.Shambulio limefanyika eneo lenye ulinzi mkali kuliko sehemu zozote katika mji wa Dodoma...
5....?
6......?