Maswali magumu ya kujiuliza baada Tundu Lissu kushambuliwa

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
1.Shambulio limefanyika baada ya yeye binafsi kulalamika "Publicaly" kwamba maisha yake yapo hatarini na amekuwa akifuatiliwa mara kwa mara na gari fulani.....
2.Kwanini kukamatwa kwake na polisi mara kwa mara kwa makosa yasiyokuwa na "miguu wala mikono" umekuwa ni wa "uvamizi" na kustukiza.....
3. Kauli ya IGP ya jana kwamba eti Rais wa TLS na mpinzani number moja wa Magu hakuwahi toa taarifa polisi, na kwamba yeye ameyaona kwenye mtandao wa jamii...Shubaaamit...mbona ukamatwaji wake sikuzote umekuwa ukitokana na habari alizozitoa kwa njia kama ila ile inayoitwa ya mitandao?! Atueleze nini maana ya polisi jamii....
4.Shambulio limefanyika eneo lenye ulinzi mkali kuliko sehemu zozote katika mji wa Dodoma...
5....?
6......?
 
tapatalk_1504927852173.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi nijibu hili rahisi
Huyu ndie yule aliesema serekali inyimwe misaada huku akijua fika watu masikini wanategemea ARV .MSETO N.K
kwenye maisha yao ?
Akijua hawa watu wakikata misaada hivi vitu vitakosekana na watakufa na yeye atawatumia kama mtaji wa kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kikundi cha dola inje ya formal chain of commands kinachofanya haya
 
Na mimi nijibu hili rahisi
Huyu ndie yule aliesema serekali inyimwe misaada huku akijua fika watu masikini wanategemea ARV .MSETO N.K
kwenye maisha yao ?
Akijua hawa watu wakikata misaada hivi vitu vitakosekana na watakufa na yeye atawatumia kama mtaji wa kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Kidevu alidai serikali yake haitegemei misaada!
 
Na mimi nijibu hili rahisi
Huyu ndie yule aliesema serekali inyimwe misaada huku akijua fika watu masikini wanategemea ARV .MSETO N.K
kwenye maisha yao ?
Akijua hawa watu wakikata misaada hivi vitu vitakosekana na watakufa na yeye atawatumia kama mtaji wa kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Raisi c alisema hii nchi ni tajiri sana hatuna haja na misaada ya wazungu, or kwa kuwa wewe ni kijana wa lumumba hapo masikio yaliziba hukusikia
 
Back
Top Bottom