Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,456
- 1,937
Mungungu wa israelUnasema mambo magumu kivipi?
'
Unapotaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu,ni Mungu yupi unaetaka uthibitishiwe?
'
Halafu ni nini maana ya Mungu?
'
Unataka kujua nini kuhusu maisha baada ya kifo?
Nadhani umenielewaUnasema mambo magumu kivipi? Kutokana na viakili vyetu vya Tom&Jerry
'
Unapotaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu,ni Mungu yupi unaetaka uthibitishiwe? Mungu wa Israel
'
Halafu ni nini maana ya Mungu? Mzee anaeishi miaka mingi yule mwenye ndevu kwenye picha
'
Unataka kujua nini kuhusu maisha baada ya kifo? Baada ya kupandwa/Kufukiwa
Katika maisha ya mwanadam kuna baadhi ya mambo ambayo majibu yake huwa hayako wazi na hata ufananuz wake huwa sio rahisi.
Baadhi ya maswali hayo ni haya:
1.Uhakika/Uthibitisho wa uwepo wa nguvu/mungu/muumbaji.
2.Uhai na kifo
3.maisha baada ya kifo(life after death)
4.Adhabu ya motoni
Unasema mambo magumu kivipi?
'
Unapotaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu,ni Mungu yupi unaetaka uthibitishiwe?
'
Halafu ni nini maana ya Mungu?
'
Unataka kujua nini kuhusu maisha baada ya kifo?
1.Uhakika/Uthibitisho wa uwepo wa nguvu/mungu/muumbaji.
Hapo kwenye RED ni kweli uthibitisho wake haupo ila uthibitisho wa Mungu upo.
Hauna Mungu/Uungu/Ukuu
Who is "mungu"?
Who is "mungu"?
[/mungu][/is anything]anything a person trusts in but the true one is Mungu
Hauna Mungu/Uungu/Ukuu
We are all star stuff just collecting star lights.
Its time to growup Max.. The clock is tickin
Who is "mungu"?
[/mungu][/is anything]anything a person trusts in but the true one is Mungu
Is anything to you means everything?
What is the "True" or Truth? How do you know the truth is "true" and the "true" is the truth?
Asante,hapa nilitaka kujua hasa ukwel wa uwepo wa mungu ama hii hofu ya mungu na adhabu ya moto pia,vile vile maisha baada ya kifo.
Ok,ni kwamba,magumu kwa sababu ufananuz wake sio rahis kuuelewa,Unasema mambo magumu kivipi?
'
Unapotaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu,ni Mungu yupi unaetaka uthibitishiwe?
'
Halafu ni nini maana ya Mungu?
'
Unataka kujua nini kuhusu maisha baada ya kifo?