Maswali magumu kwa Mwanadam ya kiimani na Kidini

Free ideas

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
3,453
1,930
Katika maisha ya mwanadam kuna baadhi ya mambo ambayo majibu yake huwa hayako wazi na hata ufananuz wake huwa sio rahisi.
Baadhi ya maswali hayo ni haya:
1.Uhakika/Uthibitisho wa uwepo wa nguvu/mungu/muumbaji.
2.Uhai na kifo
3.maisha baada ya kifo(life after death)
4.Adhabu ya motoni
 
Unasema mambo magumu kivipi?
'
Unapotaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu,ni Mungu yupi unaetaka uthibitishiwe?
'
Halafu ni nini maana ya Mungu?
'
Unataka kujua nini kuhusu maisha baada ya kifo?
 
Unasema mambo magumu kivipi?
'
Unapotaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu,ni Mungu yupi unaetaka uthibitishiwe?
'
Halafu ni nini maana ya Mungu?
'
Unataka kujua nini kuhusu maisha baada ya kifo?
Mungungu wa israel
Anataka ujua baada ya ufuikiwa
Mambo magumu kulingana na shape ya akili yake.
 
LIBRARY sijakuelewa hebu rudi u-edit post yako ili niielewe vyema!
 
Last edited by a moderator:
Unasema mambo magumu kivipi? Kutokana na viakili vyetu vya Tom&Jerry
'
Unapotaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu,ni Mungu yupi unaetaka uthibitishiwe? Mungu wa Israel
'
Halafu ni nini maana ya Mungu? Mzee anaeishi miaka mingi yule mwenye ndevu kwenye picha
'
Unataka kujua nini kuhusu maisha baada ya kifo? Baada ya kupandwa/Kufukiwa
Nadhani umenielewa
 
Yote hayo biblia imeyafafanua kwa kina cha msingi tafuta muda wa kujifunza biblia kwa kina sio stori za vijiweni
 
1.Uhakika/Uthibitisho wa uwepo wa nguvu/mungu/muumbaji.
Hapo kwenye RED ni kweli uthibitisho wake haupo ila uthibitisho wa Mungu upo.
 
Katika maisha ya mwanadam kuna baadhi ya mambo ambayo majibu yake huwa hayako wazi na hata ufananuz wake huwa sio rahisi.
Baadhi ya maswali hayo ni haya:
1.Uhakika/Uthibitisho wa uwepo wa nguvu/mungu/muumbaji.
2.Uhai na kifo
3.maisha baada ya kifo(life after death)
4.Adhabu ya motoni

Who is "mungu"?
 
Unasema mambo magumu kivipi?
'
Unapotaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu,ni Mungu yupi unaetaka uthibitishiwe?
'
Halafu ni nini maana ya Mungu?
'
Unataka kujua nini kuhusu maisha baada ya kifo?

Asante,hapa nilitaka kujua hasa ukwel wa uwepo wa mungu ama hii hofu ya mungu na adhabu ya moto pia,vile vile maisha baada ya kifo.
 
Hauna Mungu/Uungu/Ukuu
We are all star stuff just collecting star lights.
Its time to growup Max.. The clock is tickin

How did you come up with that malarkey? Be more conspicuous. What made you say what you said. What did you use to come up with that "star thing"?
 
^^
Hizo ni philosophical issues ambazo zimesumbua akili ya mwanadamu..hadi akina Plato wanaogopa vivuli vyao.
Existentialism philosophy na wengine.
Nadhani dini imejitahidi sana kuleta majibu ya kuliwaza.Pia hitaji la pesa limeziba pengo la maswali kama haya ya kifalsafa.
^^
 
Jiulize mamlaka uliyonayo juu ya hayawani umeyapata wapi, maana ng'ombe unajua wewe anakuona kama nani?.
 
Asante,hapa nilitaka kujua hasa ukwel wa uwepo wa mungu ama hii hofu ya mungu na adhabu ya moto pia,vile vile maisha baada ya kifo.

Inawezekana hujui ulichouliza au umeuliza kwa kufuta mkumbo.Hujajibu lolote kati ya niliyokuuliza!
 
Unasema mambo magumu kivipi?
'
Unapotaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu,ni Mungu yupi unaetaka uthibitishiwe?
'
Halafu ni nini maana ya Mungu?
'
Unataka kujua nini kuhusu maisha baada ya kifo?
Ok,ni kwamba,magumu kwa sababu ufananuz wake sio rahis kuuelewa,
Mungu namaanisha huyu tumwabudue kila siku.kuhusu maisha baada ya kifo nataka kujua undani wa jambo hili na kama kwel hiki kitu kipo
 
Punguza hofu mkuu, hizo zote ni hekaya za mwanadamu baada ya kukosa majibu ya baadhi ya vitu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom