Maswali magumu kwa Magufuli

Decree Holder

JF-Expert Member
Jul 19, 2015
2,556
3,741
Je ACACIA wamekiuka mikataba na sheria za madini?

Je mikataba husika inasema nini kampuni ikikiuka mikataba na sheria?

Je defaulter anatakiwa apelekwe kwenye arbitration tribunals zipi za kimataifa?

Kama tuna ushahidi kuwa wamevunja mikataba na sheria zetu kwanini tusiwapeleke huko kunako husika kwa mujibu wa utaratibu?
 
Hawajavunja sheria wala kukiuka terms za mkataba., hapo mwanzo hatukujua kama wanatuibia., Sasa tumeamka usigizini, na lengo ni kusimamisha huu wizi kwa namna yeyote at minimal cost hata kwa kibabe..!!!

Ungejaribu walau kufkiri ni jinsi gani tutajitoa katikati ya hili pori tuliloingia tungekuona wa maana kidogo., lkn sio kwa maswali yako ya kukariri kama kasuku
 
hawajakiuka mkataba wowote! maana wanalipa mrabaha kwa mujibu wa sheria.. kosa lipo kwa tmaa kwa kutoa test report inayoonesha kiwango kidogo cha madini katika mchanga na hivo kuhalalisha wizi huo.

tmaa wanapaswa kuwajibika kwa hili, na sasa walete teat report yenye uhalisia ili tulipwe mrahaba halisi.

acacia hawana kosa lolote, maana wanalipa kulingana na test report ya taasisi ya serikali yenye dhamana hiyo. hata kama nyuma ya pazia wao ndo wanainfluence majibu hayo yanayoonesha concentration kidogo ya madini, bado huwezi kuwashtaki moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom