vipi mwanasheria slaa amerudi? lowasa mnamfukuza lini?Bado natafuta alama za kuuliza (?) ili nione maswali yalikoanzia na kuishia
hayana maana sasa hivi vijiswali waulize. CCM kwanini yanawakuta yanayowakuta
Lowasaa akishinda ndo mwisho wa CDM kwani naamini ataingiza mambo yake ambayo kimsingi hayashabihiani na CDM original, atafanya hivyo kwasababu kwanza yeye anaonekana ndo kaombwa na CDM ili awasaidie na kwasababu hata akishinda si kwasababu ya CDM, Lowassa hategemei chama ili kushinda kwasababu yeye anaamini ana watu wake tayari na ana pesa tofauti na magufuri anayesubiri kukampeniwa na chama ..sasa mtu ambaye hategemei chama ili ashinde akishinda chama kitawezaje kumcontrol ? atatii? kwa magufuri kwasababu anasaidiwa na chama chake anaamini chama vhake kitaendelea kuwa nguzo yake lakini kwa Lowassa atakuwa kama yeye na hata kama itahitajika kuwa na chama yeye ndo atakuwa juu ya chama either kwa direct ama indirect na kwa chochote atakachokifanya itabidi wote wakubali vinginevyo utaambiwa utoke ..hiki kitakuwa ni chama cha wachache wenye ukwasi ndo watakuwa na hold ya chama
Naionea sana huruma CDM, si kwasasa hivi ila baada ya sahivi, poleni wanamapinduzi.

acha uoga ww
UKAWA ni nini hakuna kitu kama UKAWA kushika nchi. its abstract concept. Mnawajaza watu ujinga tu.
"Sijawahi kuajiriwa au kufanya kazi mahali popote nje ya CCM na asienitaka yeye ndiye atoke ndani ya CCM." - ENLLowasaa akishinda ndo mwisho wa CDM kwani naamini ataingiza mambo yake ambayo kimsingi hayashabihiani na CDM original, atafanya hivyo kwasababu kwanza yeye anaonekana ndo kaombwa na CDM ili awasaidie na kwasababu hata akishinda si kwasababu ya CDM, Lowassa hategemei chama ili kushinda kwasababu yeye anaamini ana watu wake tayari na ana pesa tofauti na magufuri anayesubiri kukampeniwa na chama ..sasa mtu ambaye hategemei chama ili ashinde akishinda chama kitawezaje kumcontrol ? atatii? kwa magufuri kwasababu anasaidiwa na chama chake anaamini chama vhake kitaendelea kuwa nguzo yake lakini kwa Lowassa atakuwa kama yeye na hata kama itahitajika kuwa na chama yeye ndo atakuwa juu ya chama either kwa direct ama indirect na kwa chochote atakachokifanya itabidi wote wakubali vinginevyo utaambiwa utoke ..hiki kitakuwa ni chama cha wachache wenye ukwasi ndo watakuwa na hold ya chama