Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,556
mambo magumu haya,mi naona enl ni mwanachadema,chama kitampgia kampen atake asitake,akiachwa anaweza kucheza karata dume kuwaua ukawa... lakin haya ni maon,naamin uwezo wake na sifa vinambeba japo jamii haina picha nzur kuhusu yeye, nasema hvo kulingana na wapga kura weng wapo vjijn ambako kuelewa ni ngumu kidogo,
Umeona mkuu, na mada kama hizi jamaa zake hawasogei na hawataki kuzisikia lakini hazitapita bila kupatiwa majibu kama kweli wanataka kujifunza ..maswali haya ndo yanatufanya sie kuuona ugumu wao iwe leo ama baada ya kesho what goes around