Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
- Thread starter
- #61
Aseee ata sijui kwa nini ila kikubwa nilitaka tu niwe na ID tofauti na ya kushangaza mbele ya jukwaa la magreat thinker,Kwann uliamua kujitoa zero iq
That's why unaona baada ya mimi kujiita Zero IQ Kuna wengi walishangazwa na wao kutamani kujiita hivyo mfano kuna Mr zero humu, na N. K.