Swali: Milioni 12 kwa mwezi zinalipwa kwa Nyumba ya Mh. Sitta huko Masaki akiwa Spika na hivi majuzi kasafiri kwenda India na Familia yake kwa hadhi ya Spika.
Lini ataondoka katika nyumba ya Spika na kutopewa hadhi ya daraja la kwanza ili kuipunguzia serikali mzingo
Spika anaingilia kati: Huyu ni Spika mstaafu kama alivyo Msekwa na wengine wowote, hili si swali
Kapotozewa
Mh. Regia
Ishu ya mafuta naona sanaa tu! Hajajibu kitu! Anasema bei itashuka baada ya muda mpaka stock iishe wakati huo huo mafuta ya taa yalipanda tu baada ya tamko?
Nasikia hata Lowasa ni WM mstaafu pia pamoja na makandokando yote! Shamsi Vuai Nahodha naye ni WK mstaafu ndio maana aliendelea kukaa hotelini huku akitafutiwa nyumba ya hadhi hiyo nyingine. Pinda alikuwa hajui!Yaaani unajua mkuu nimeshangazwa sana na hayo maelezo kuhusu spika Sitta. Hivi kweli TZ tupo serious????????????
Duh! akina Nape walivyokuwa wameukomalia mshahara/posho ya Slaa nadhani sasa ni muda muafaka walitolee maelezo hili!!!!!
Alikuwa anajifuta jasho tu wakati swali linaulizwa hata hivyo bibi kiroboto kambeba. Kuwa ni stahiki yake kwa kuwa bado ana hadhi ya Spika Mstaafu na kuwa haki hizo huwa haziondoshwi kisheria
Swali: Milioni 12 kwa mwezi zinalipwa kwa Nyumba ya Mh. Sitta huko Masaki akiwa Spika na hivi majuzi kasafiri kwenda India na Familia yake kwa hadhi ya Spika.
Lini ataondoka katika nyumba ya Spika na kutopewa hadhi ya daraja la kwanza ili kuipunguzia serikali mzingo
Spika anaingilia kati: Huyu ni Spika mstaafu kama alivyo Msekwa na wengine wowote, hili si swali
Kapotozewa
Mh. Regia
I was very disappointed ktk jibu la PM kuhusu swali hapo juu. He was arrogant and not objective at all. In fact we have stalled in our development efforts endeavour because of people like PM. Huyu jamaa ameshindwa kusimamia shughuli za serikali kikamilifu.Imagine wabunge wanalipwa 10 day allowances plus fuel kwenda kutembelea majimbo yao...na hakuna accountability hizo funds. Mbunge aende asiende ni juu yake na chama chake... What about kodi ya watz?Anauliza Kuhusu kuwawajibisha wabunge wasiotimiza majukumu yao vema huku wanapewa fedha na serikaliwabunge wanatokana na vyma fulani fulani CUF, CDM na kadhalika, utaratibu uliowekwa na serikali kutekeleza wajibu wako kwa hiyo serikali inafanya jukumu ka kuwawezesha kutimiza wajibu wao na watawajibishwa na wananchiMh. Regia anasisitiza serikali lazima iwamonite kwa kuwa fedha hizo zinakaguliwa na CAGPM: anasisitiza kila chama kina jukumu kwa wabunge wake na si busara kuingiza serikali katika jukumu jingine na gharama za kuunda chombo kipya kuwasimamia wabunge
Swali: Milioni 12 kwa mwezi zinalipwa kwa Nyumba ya Mh. Sitta huko Masaki akiwa Spika na hivi majuzi kasafiri kwenda India na Familia yake kwa hadhi ya Spika.
Lini ataondoka katika nyumba ya Spika na kutopewa hadhi ya daraja la kwanza ili kuipunguzia serikali mzingo
Spika anaingilia kati: Huyu ni Spika mstaafu kama alivyo Msekwa na wengine wowote, hili si swali
Kapotozewa
Mh. Regia
mimi naona akili yangu inaanza kupata ukichaa.
sielewi maana ya kustaafu ni nini?
6 alichukua fomu akatemwa kiaina leo wanasema ni mstaafu.
du bongo siasa raha sana.
hata rostam ni mbunge mstaafu.