Maswali kwa Dr. Asha-Rose Migiro!

Kwani kati ya Migiro na Kikwete ni nani ana uwezo kuliko mwingine.

Hebu fikiria ukatakiwa kuchagua kuchagua mmojawapo kati ya Migiro na wafuato: Pinda, Lowasa, Nchimbi, Nape, Mwigulu, Sumaye. Utachagua yupi.
 
Hana lolote anapenda madaraka anafikiri kuwa UN ndio kutamsaidia kupata madaraka TANZANIA ahaha ile mbaya mara anajipanga kugombea ubunge JIJI LA MWANZA eti ili akishinda apewe uwaziri kama TIBAIJUKA amesha jenga nyumba mji mmoja unaitwa nyegezi ili aonekane mkazi wa mwanza,pia anajipanga kufungua REDIO pale mwanza KWA AJIRI YA PUBLICITY yupo na wapambe wenzake wakina MWITA GACHUMU yule kada wa CCM.pia mtu mmoja anaitwa AMRANI BATENGA,lakini namshauri tu kuwa jimbo la mwanza ngumu AKAJARIBU JIMBO LA SUMVE.
 
Ninaona wakati huu ccm watakuja na pendekezo la mwanamke awe rais mwaka 2015 ambalo ni janga kwa taifa na atapendekezwa kwa udini. Tusubiri na tuone kitakachotokea.

mkuu kama umeona vile...speaker makinda amekua janga bungeni....wanataka kutuletea kilaza mwingine ikulu....bora ya LOWASSA hata kama fisadi kuliko huyu kilaza aingie ikulu
 
...niliwahi kuhoji mahala [wakati huo rose migiro-asha] akiwa un. Nilihoji: "hivi, dr.rose asha rose

migiro, anafanya nini umoja wa mataifa [un]? Nikaendelea kuuliza [wakati huo japan ilikuwa imepigwa na

tsunami na kuwepo kwa tishio la mionzi ya ki-nyukilia kusambaa duniani kwa njia ya upepo], wakati

ambapo dunia ianpambana na majanga mbali mbali ya kimaumbile[matetemeko, volcanic eruptions nk] na

kukabiliwa na vita sehemu mbali mbali, sikuwahi kumsikia asha rose migiro akipaaza sauti yake kukemea

vita, dhulma na au hata kutoa pole kwa wahnga wa majanga mbalimbali. Anayehangaika ni mzee ban-ki

moon peke yake. Nikajiuliuliza tena, rose migiro anafanya kazi gani? Ni mama wa ofisini tuu? Nilimsikia

alipoteuliwa kuwa kaimu katibu mkuu [un] sikumsikia tena hadi hivi sasa ninapomsikia akiwa kamaliza

muda wake wa miaka mitano. Swali kubwa: Muda wote huo akiwa un, migiro alikuwa anafanya nini?

alikua anatumia muda mwingi kwenda kumtembelea JK ikulu na kupiga picha (kutoka kwa waandishi walionunuliwa) for publicity
 
Namfahamu Asha-Rose Migiro tangu akisoma,LLB, LLM and PhD. Migiro ananifahamu pia. Aidha Migiro anawafahamu Dr. WillyRingo Tenga na Prof. Paschael Mihyo. Migiro pia alifahamiana vizuri na Prof. PhilemonMsuya (RIP) CACO, UDSM miaka ya 1980s. Wannne hao wanafahamu siri fulaniinayohusu maisha halisi yaMigiro wakati akisoma LLM. Sitaki kwenda mbali, lakini naomba Migiro afikishiwesalamu, kwamba siku moja, siri hiyo itawekwa hadharani. Kwenye ukweli uongohujitenga.
Kila la heri.

Una maana alipata LLM kwa kuvua c.....i? kwani ukiangalia kwa undani inaonekana kuna kitu unataka tufahamu.
 
Hivi anatokea jimbo gani? Tujue atagombea na nani? Ila kwa ccm sitashangaa kumpa nafasi huoni makinda
 
Kwani kati ya Migiro na Kikwete ni nani ana uwezo kuliko mwingine.

Hebu fikiria ukatakiwa kuchagua kuchagua mmojawapo kati ya Migiro na wafuato: Pinda, Lowasa, Nchimbi, Nape, Mwigulu, Sumaye. Utachagua yupi.
Katika orodha hiyo yenye red hujamtendea haki mwenzao Lusinde.
 
Awe muwazi kuwa kashindwa kuperform katemwa na kapewa mwingine asijisifie UN hawaangalii sura wanaangalia kazi

Haya mashambulizi mnayoyapeleka kwa Dr Migiro Phd yananikumbusha yale mashambulizi mliyokuwa miiyafanta dhidi ya Dr Salim. Kama vile mnatumia script ileile ya wakati ule.... Urais ujao hautopatikana kwa kuwachafua wengine.

Muda wote huu mmekuwa mikadai kuwa amevurunda huko UN. Mbona hamjawahi kusema amevurunda nini....
 
...niliwahi kuhoji mahala [wakati huo rose migiro-asha] akiwa un. Nilihoji: "hivi, dr.rose asha rose

migiro, anafanya nini umoja wa mataifa [un]? Nikaendelea kuuliza [wakati huo japan ilikuwa imepigwa na

tsunami na kuwepo kwa tishio la mionzi ya ki-nyukilia kusambaa duniani kwa njia ya upepo], wakati

ambapo dunia ianpambana na majanga mbali mbali ya kimaumbile[matetemeko, volcanic eruptions nk] na

kukabiliwa na vita sehemu mbali mbali, sikuwahi kumsikia asha rose migiro akipaaza sauti yake kukemea

vita, dhulma na au hata kutoa pole kwa wahnga wa majanga mbalimbali. Anayehangaika ni mzee ban-ki

moon peke yake. Nikajiuliuliza tena, rose migiro anafanya kazi gani? Ni mama wa ofisini tuu? Nilimsikia

alipoteuliwa kuwa kaimu katibu mkuu [un] sikumsikia tena hadi hivi sasa ninapomsikia akiwa kamaliza

muda wake wa miaka mitano. Swali kubwa: Muda wote huo akiwa un, migiro alikuwa anafanya nini?

Ninafikiri wale wanaomwona kama dhaifu wana pointi kutokana na haya uliyoyabaini. Unajua utamaduni wa utawala wa wabongo ni kuwa REACTIVE badala ya kuwa PROACTIVE na yeye amelelewa na kukulia katika utamaduni huo huo. Ni utamaduni unaolitesa taifa hilo na utaendelea kulitesa kama hapana jitihada za makusudi za kuufanyia mageuzi. Sidhani Dr Migiro kama binadamu ana tatitizo lo lote. Kwa bahati mbaya kukaa kwake UN hakukumbadilisha na hilo ndilo watabiri wa masuala ya kisiasa za Bongo wanahofia iwapo atakuwa na nia ya kujipenyeza katika utawala wa juu - urais - tutaishia kuwa na yale yale alimradi siku imepita (REACTIVE). Sijawahi kusikia chombo cho chote cha habari cha Marekani kikimnukuu au kumhoji. Nilifikiri aliishabadilishwa kazi siku nyingi kumbe alikuwa bado na nafasi hiyo. Ni DHAIFU.
 
Nafikiri kashindwa kazi mbona mwenziye anaendelea Ban kimoon, kuna tatizo hapa na hataki tu kutueleza ukweli kwani miaka kumi bado haijaisha
 
Awe muwazi kuwa kashindwa kuperform katemwa na kapewa mwingine asijisifie UN hawaangalii sura wanaangalia kazi

i think ur right coz ki moon said that, they want to build a strong leadershp team with one vision as a team, and dr. A.r migiro was asked to (resign?) not to apply for a 2nd term
 
Namfahamu Asha-Rose Migiro tangu akisoma,LLB, LLM and PhD. Migiro ananifahamu pia. Aidha Migiro anawafahamu Dr. WillyRingo Tenga na Prof. Paschael Mihyo. Migiro pia alifahamiana vizuri na Prof. PhilemonMsuya (RIP) CACO, UDSM miaka ya 1980s. Wannne hao wanafahamu siri fulaniinayohusu maisha halisi yaMigiro wakati akisoma LLM. Sitaki kwenda mbali, lakini naomba Migiro afikishiwesalamu, kwamba siku moja, siri hiyo itawekwa hadharani. Kwenye ukweli uongohujitenga.
Kila la heri.
Detail ulizotoa zinazohusu mambo ya mtu binafsi yaliyotokea miaka karibu 30 iliyopita kabla hata hajaolewa hayakuwa ya lazima kabisa. SIku za nyuma kidogo niliweka post moja kuhusu "Injinia" Manyanya nikasema kuwa kwa uzee wa leo sitaweza kuandika ninvyomfahamu alipkuwa chuoni, kwa sababu mambo ya zamanai huwa yanawaingiza watu wengine wasiohusika kabisa na mjadala ulioko mbele yako na huweza kuwavunjia watu heshima mbele za familia zao, ingawa wakati mambo unayozungumza yalipofanyika ilikuwa ni sawa tu kwao kwa vile hawakuwa na familia wakati huo.
 
Hello,
Usisahau kuwa mtu wa leo ametokana na hitoria yake ya jana. Aidha, asahau yealikotoka hawezi kujua aendako.
Malezi na makuzi ya mtu ni sehemu ya tabiayake ya leo. Tanzania imeangamia na kudidimia kufikia hapa ilipo kutokana na kuongozwa na watu waliokwisha kuwa declared unfit for public leadership. Waliosema kuwa mambo hayo yalikuwa ya zamani leo hii wanalia na kusaga meno; Tanzania inaelekea kuzimu! Na isitoshe, tabia ya mtu baada ya kuwa naumri wa zaidi ya miaka 20, tena akisomea shahada ya uzamili, haitegemewi kubadilika. Ndio maana baadhi ya watu hujitangazia ulokole ikiwa ni njia mojawapoya kujikana hadharani (public negation of the past wrong doings) na kukana kutorudia maovu waliyoyafanya huko nyuma. It is personal cleansing. Mtu yeyote anayetaka kuwa kiongozi wa umma sharti maisha yake ya nyuma yamulikwe kubainishwa na kuwekwa hadharani. Hayo ndiyo matakwa ya uongozi kisiasa.
 
Back
Top Bottom