Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,438
- 166,899
Viongozi wenu wa dini wako busy kuwaombea na kuwabariki mafisadi na madili yao haramuTupo bize huku kuwalaani wauza bandari.
✍🏽je ni kwa Nini IMAM mkuu wa SAUDI lazima apitishwe na Vatican kabla ya kuapishwa Nchini Saudia huku ikiwa ni Dini tofauti(Kama hujui usibishe fuatilia )
✍🏽je kwanin PAPA sio ajabu kubusu QUR'AN kuisoma na hata kushiliki ibada na WAISLAM?
✍🏽Je mnajua lolote kuhusu Chrislam(kuunganisha Ukristo+uislamu) na mkataba uliosainiwa Nchini Abu Dhabi dhidi ya PAPA na Imam mkuu WA Saudia?
Tafuta kitabu chenye jina la "papa ni nani" kinajibu 90% ya maswali yako hapo.✝️PAPA/POPE NI NANI KWANI
JAMANI SIO KILA SIKU NAWAJIBU NYINYI TU LEO NA MIMI MUNIJIBU MASWALI YANGU👇
✍🏽je PAPA/POPE ni nani????
✍🏽je BIBLIA inasemaje kuhusu PAPA/POPE???mimi mbona nimetafuta sijaona???
✍🏽je kwanini WHITE POPE and NOT BLACK POPE(PAPA MWEUSI) ??
✍🏽je kwa nini kila akichaguliwa PAPA kuna moshi mweusi na mweupe vatican???unakua una maana gani???
✍🏽je ni kwanini viongozi wakubwa Duniani (wafalme,maraisi) mara nyingi wakimtembelea PAPA huvalia mavasi
Meusi na huku yeye akivalia Vazi jeupe??
✍🏽je Vatican ni nchi ndani ya nchi,state of Vatican??? ndani ya nchi ya Italy(kwanini ni city state?)
✍🏽je kwanini mapapa wote ni WAZUNGU??
✍🏽je wale maaskari wa Jesuits na BLACKWATER wa Vatican wanakazi gani, huku mkiambiwa ni waswiz wasio zidi 100😁????
✍🏽je ORDER ya TRAPEZOID(trapeza) ina maana gani???
✍🏽je kwanini jeneza la papa Paul 2 lilikua na shape ya trapeza???
✍🏽je nikweli MARTIN LUTHER aliondoka kanisa la kirumi kwa ajili ya vitubio vya dhambi??(doctrine of indulgence)
✍🏽je ni kwa Nini IMAM mkuu wa SAUDI lazima apitishwe na Vatican kabla ya kuapishwa Nchini Saudia huku ikiwa ni Dini tofauti(Kama hujui usibishe fuatilia )
✍🏽je kwanin PAPA sio ajabu kubusu QUR'AN kuisoma na hata kushiliki ibada na WAISLAM?
✍🏽Je mnajua lolote kuhusu Chrislam(kuunganisha Ukristo+uislamu) na mkataba uliosainiwa Nchini Abu Dhabi dhidi ya PAPA na Imam mkuu WA Saudia?
Papa ni kiongozi wa kanisa katoliki duniani. Huyu anayeitwa papa amezaliwa akawa raia kama wewe au kikanisa tuseme mlei, akawa padri, kisha askofu na kuchaguliwa kuwa papa.je PAPA/POPE ni nani????
Unataka biblia isemeje kuhusu yeye?je BIBLIA inasemaje kuhusu PAPA/POPE???mimi mbona nimetafuta sijaona???
Hapa ni sawa nakuuliza Tanzania yenye makabila 120 kwanini haijawahi kupata rais Mtaturu(hili ni kabila huko tabora na maeneo ya shinyanga)✍🏽je kwanini WHITE POPE and NOT BLACK POPE(PAPA MWEUSI) ??
Kutachafuka hapa muda si mrefu...
Shusha nondo za maswali haya muhimu kama unazo. Au lazima uende kwanza kwenye group la Kisendi Nyanda Ntalima Mpandagoya ukatafute majibu? 😁😁😁
Shinyanga haina Wataturu, wako SingidaHapa ni sawa nakuuliza Tanzania yenye makabila 120 kwanini haijawahi kupata rais Mtaturu(hili ni kabila huko tabora na maeneo ya shinyanga)
Najibu swali kwa kusema hivi "Kwa kuwa uchaguzi hufanyika basi kura za mtu mweusi hazijawahi kutosha"
Biblia ni ya Wazungu, Bujibuji haimuhusu. Nioneshe waraka wa mtume Paulo kwa WanyantuzuUnataka biblia isemeje kuhusu yeye?
Ni sawa nakutafuta biblia inasema je kuhusu bujibuji
Bandari isha uzwa na serikali ya Zanzibar, kelele zenu si mali kituTuko na bandari, hii tuta discuss mwakani
Unawakataa ndugu?Ubaya huo.Shinyanga haina Wataturu, wako Singida
Biblia inasemaje?Tafuta kitabu chenye jina la "papa ni nani" kinajibu 90% ya maswali yako hapo.
Anaandika..."tokoshila pyee pyeee,Tokosanga manumba na mawee"...!Funua ukurasa wa tatu dee!Biblia ni ya Wazungu, Bujibuji haimuhusu. Nioneshe waraka wa mtume Paulo kwa Wanyantuzu
Waraka wa Yohana kwa WataturuUnawakataa ndugu?Ubaya huo.