Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,435 Reaction score 166,890 Sep 6, 2019 #21 Dunia ina umbo LA fimbo, ndio, fimbo ya kuchapia, ndio maana Waswahili wanasema asiye funzwa na mamaye hufunzwa na Dunia. Pia wanasema ukipigao ndio ukufunzao
Dunia ina umbo LA fimbo, ndio, fimbo ya kuchapia, ndio maana Waswahili wanasema asiye funzwa na mamaye hufunzwa na Dunia. Pia wanasema ukipigao ndio ukufunzao