Maswali kuhusu simu na kompyuta

Maswali kuhusu simu na kompyuta

Mkuu Hamna njia ya kuongeza space bila kutumia cloud?! Yani kuongeza internal ya simu bila kuweka app nyingine?
Hakuna mkuu hiyo cloud.mail.ru ni nzuri sana na ni ya fauti na cloud nyingine iyo inabaki kuwa kama app ya simu like Gallery
 
Simu yangu ni tecno WX3 nataka amisha vitu kwenye memory kadi lakini mzigo haundi baada ya kugoogle nikaona sehemu kuwa hizi simu Google wamezifungia huwezi amisha vitu kwenye SD vp kuna app au njia nyingine yakufanya maana nashindwa enjoy kabisa aka kasimu kangu
Ipo njia download hapa inaitwa sd file manager
 
Nikiwa mbobezi katika masuala ya simu hasa Android na kompyuta nakaribisha maswali kuhusiana na matatizo hasa ya software tu....na ushauri wa app muhimu kuwa nazo kwenye simu.......je simu yako ina nafasi ndogo? Je unaitaji kuhifadhi mafaili yako milele? ...
NAKARIBISHA MASWALI........
Msaada mkuu mi natumia simu ya tecno spark ila inazingua kwenye screen record yani kila app nitakayo tumia inaandika insufficient ram screen record will stop soon unaweza nisaidia jinsi ya kuongeza ram kwenye cm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naomba kujuzwa njia rahisi ya ku display simu yangu kwenye monitor screen.
 
Kuongeza nafasi download app inaitwa cloud.mail.ru ....Kubadili imei issue inategemea na aina ya simu yenyewe kwa zaidi ni PM
Kumbe kuongeza nafasi ya simu mfano 8GB to 16GB basi ana 'danlodi' tu hiyo 'cloud.mail.ru'!!..😱😱
 
Haingozeki kuwa hivyo kama siku yako ni 8gb inabaki hivyo/ila cloud.mail.ru inakuwa kama external memory
Kumbe kuongeza nafasi ya simu mfano 8GB to 16GB basi ana 'danlodi' tu hiyo 'cloud.mail.ru'!!..
 
Haingozeki kuwa hivyo kama siku yako ni 8gb inabaki hivyo/ila cloud.mail.ru inakuwa kama external memory
Tumia google photos, google contact na google drive!.. Acha kutumia website za uchochoroni hizo utakuja umia!..
 
Tumia google photos, google contact na google drive!.. Acha kutumia website za uchochoroni hizo utakuja umia!..
Hizo zote hazigusi kwa cloud.mail.ru mzee maana pia hiyo hao hao google wameilist kama app bora ya mwaka umekariri ila jifunze zaidi
Screenshot_2019-01-30-12-07-56-1.jpeg
 
Nikiwa mbobezi katika masuala ya simu hasa Android na kompyuta nakaribisha maswali kuhusiana na matatizo hasa ya software tu na ushauri wa App muhimu kuwa nazo kwenye simu.

Je, simu yako ina nafasi ndogo?

Je unaitaji kuhifadhi mafaili yako milele?

NAKARIBISHA MASWALI........
mie simu yangu ina storage ndogo unanisaidiaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom