Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 33,171 Reaction score 83,016 Oct 16, 2023 #1 Masawali haya je una majibu?jibu kisha nitumie majibu(mtihani wa maarifa ya dunia) 1.Kama hela haioti kwenye kwenye miti kwa nini bank zina matawi ? 2.Kwa nini gundi hainati kwenye chupa yake? 3.Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa kwa nini bar kuna parking? 4.Kama neno abbreviation lina maanisha ufupisho kwa nini lenyewe ni refu hivo ? 5.Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa kwa nini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa kazi kwako?
Masawali haya je una majibu?jibu kisha nitumie majibu(mtihani wa maarifa ya dunia) 1.Kama hela haioti kwenye kwenye miti kwa nini bank zina matawi ? 2.Kwa nini gundi hainati kwenye chupa yake? 3.Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa kwa nini bar kuna parking? 4.Kama neno abbreviation lina maanisha ufupisho kwa nini lenyewe ni refu hivo ? 5.Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa kwa nini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa kazi kwako?
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,769 Reaction score 126,702 Oct 16, 2023 #2 Kama Kuku anakunywa maji kwanini hakojoi
D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,741 Reaction score 5,281 Oct 16, 2023 #3 "Huna akili"
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 33,171 Reaction score 83,016 Oct 16, 2023 Thread starter #4 Dafugwadu said: "Huna akili" Click to expand... Aliyekuzaa akiwa nazo inatosha mkuu
Kizibo JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 4,615 Reaction score 10,519 Oct 16, 2023 #5 Eti mtu mzima anaanzia miaka 18, mbona tunabalehe kabla ya miaka hiyo? Utasikia "binti akiwa na miaka 15 hajakomaa kuzaa" kwanini anavunja ungo sasa katika umri huo? Maanake si mwili uko tayari kwa kazi bana!!!
Eti mtu mzima anaanzia miaka 18, mbona tunabalehe kabla ya miaka hiyo? Utasikia "binti akiwa na miaka 15 hajakomaa kuzaa" kwanini anavunja ungo sasa katika umri huo? Maanake si mwili uko tayari kwa kazi bana!!!
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 33,171 Reaction score 83,016 Oct 16, 2023 Thread starter #6 Kizibo said: Eti mtu mzima anaanzia miaka 18, mbona tunabalehe kabla ya miaka hiyo? Utasikia "binti akiwa na miaka 15 hajakomaa kuzaa" kwanini anavunja ungo sasa katika umri huo? Maanake si mwili uko tayari kwa kazi bana!!! Click to expand... Kabisa naunga mkono hoja 👍👏
Kizibo said: Eti mtu mzima anaanzia miaka 18, mbona tunabalehe kabla ya miaka hiyo? Utasikia "binti akiwa na miaka 15 hajakomaa kuzaa" kwanini anavunja ungo sasa katika umri huo? Maanake si mwili uko tayari kwa kazi bana!!! Click to expand... Kabisa naunga mkono hoja 👍👏
Endasak Masqaroda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,728 Reaction score 3,957 Oct 16, 2023 #7 Moderator hamishia uzi kule kwenye chit chat