Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,897
- 7,525
Je Kama CHADEMA haina mvuto,imesambaratika,haipendwi, chama tawala kwanini wanaogopa kufanya reforms zinazopigiwa kelele Hadi watu kutekwa, kuumizwa, "kupotea", hadi kuzuia watu kwenye viwanja vya ndege kuhudhuria kesi, kusudi ili ufanyike uchaguzi wa huru na haki mkaithibitishia dunia maneno hayo? mnaogopa nini?
Je ni reforms zipi pengine ambaye anajua anaweza kutuwekea watanzania tukasoma na tukajua kua reforms zinazopiganiwa kwa jasho machozi na damu
Je ni reforms zipi za uchaguzi zilizopo Sasa ambazo zimeonekana kukandamiza uchaguzi kua huru na WA Haki?
Kwanini midahalo ya kitaifa hua inakimbiwa? Kama mnajiamini na mna uwezo wa kujenga hoja na wananchi wakawasikiliza na kuamua kwanini wote wagombea Urais pamoja na mwenyekiti wa uchaguzi na mwenyekiti wa midahalo ambaye hafungamani na kokote kusiendeshwe mdahalo wa kitaifa na iwe LIVE watu wote nchini waone na wasikie
Kwanini Hadi uvamie, uteke, upoteze, uvamie kwenye hotel za watu, uumize watu, na zaidi takwimu za mwaka huu zaidi ya watanzania milioni 50+ wanatumia huduma za intaneti, ni mtanzania Gani mzalendo unaweza kumficha kitu kwa sasa ukiacha wale chawa(bendera fata upepo) ambao hawajui Wala kuelewa hata wanachokipigania.
Watanzania kama Mimi wanawaza kwa sauti