Warioba amevurugwa kwa kiasi kikubwa sana anashindwa afanye lipi kwenye maisha yake alivyodanganya alijua kuwa kazi imeisha kumbe alikuwa anajaribu kina cha maji kwa miguu yote miwili.
Warioba asipoangalia atazeeka mara mbili yeye akae kimywa dawa iweze kuingia alipotosha sana sasa moto unamwakia anajuta na mikono kichwani.
Wangapi walipendekeza serikali mbili?
Wewe umewahi kukusanya takwimu au nawe unafuata maelezo ya hao mbumbumbu wa Dodoma? Ukiwa na maswali kwenye dodoso, lini watu wote wameshawahi kujibu maswali yote?
naomba ujieleze wewe mwenyewe kama kweli umewahi kufanya uchambuzi wa takwimu za kitafiti na hasa wa aina hii yaani maswali ya kisosholojia maana hapo hatukuwa na sayansi? Hatukutegemea jibu sahihi.
!
!
jeshi linaweza kuasi. Wako sahihi kwani jeshi lenyewe ni la ovyo ovyo tu. Badala ya kukomaa na tafiti mbalimbali jeshi letu lipo busy na gesi mtwara
Warioba nafasi yake ilishakwisha kwenye tume, now he is just senior citizen kama wengine
Usiite watu mbumbumbu mkuu, si ustaarabu.
Sijawai fanya takwimu,
Sijafuata maelekezo ya yeyote yule, nimewaza mwenyewe nikachanganya na wanosema ukawa na walio against ukawa nimeconclude serikali 3 italeta matatizo, nitapigia kura mbili,
Ni maoni tu
anadai eti wanajeshi wamechoka kupiga mizinga 21 mara mbili,pointless.Warioba asipoangalia atazeeka mara mbili yeye akae kimywa dawa iweze kuingia alipotosha sana sasa moto unamwakia anajuta na mikono kichwani.
Warioba amevurugwa kwa kiasi kikubwa sana anashindwa afanye lipi kwenye maisha yake alivyodanganya alijua kuwa kazi imeisha kumbe alikuwa anajaribu kina cha maji kwa miguu yote miwili.
nenda shule bana mbona zipo nyingi tu kasomee statistical analysis utabain kama warioba alikuwa sahihi au la wewe unamsikiliza komba na sendeka walokimbia shule.