Maswali 21 kwa Zitto Kabwe

Hivi mlifukuza Zitto chadema kwa bahati mbaya mbona mnafuatilia sana,mwacheni aendelee na mambo yake.

unajifanya kumpenda ZZK ili utimize azma yako!! wenzako wametengeneza email cjajua ww utatengeneza nn.

Mbona Mbowe kabadili katiba ili awe mwenyekiti wa milele mpo kimya

Chadema hawana akili wote yani walimfukuza Zitto kwa mbwembwe halafu wanataka kumpangia utaratibu wake wa maisha

Wao machadema mikutano ni maandamano na fujo kwa ajili ya umaarufu,wajifunze siasa na sio fujo za kijinga

Kweli kawashika pabaya cdm,mtaulza hata maswal 100 lakn jamaa anawatesa.

Na ninyi muulizeni babu Slaa kwa nini mpaka sasa miaka 90 ana girfriend badala ya mke?

Maswali ya kitoto sana.Ingawa yameshajibiwa mara nyingi tu hapa hapa JF. Leteni mijadala mingine sasa tuneshachoka na thread zenu za kumlilia Zitto.

Pole, kwanza hawezi kuja hapa kukujibu hayo maswali yako. Subiri mavuvuzela yake yaje hapa kupiga kelele yakishirikiana na Yale ya lumumba
. ... Mwenye hii post alitabiri vizuri
 
Zitto hana umuhimu ndani ya Chadema ndo maana alifukuzwa akaenda mahakamani kulinda ubunge.

Hoja ya msingi hapa ni usaliti na si vinginevyo. Mimi watu kama zitto hawanipi shida kuwaelewa namtakia usaliti mwema.
 
Naamini huyu alikuwa ni mtu muhimu na alikuwa muhimu ndani ya chadema na tuache unafi kwakuwa kaondoka chamani......na kama hakuwa na mchango wowote kwanini msione kama chama kilepunguza mzigo ambao ulikuwa nao wa kubeba watu wasiofaa katika chama?
 
Nati ya kwenye tairi ya gari; inakuwa na umuhimu ikiwa inauwezo wa kushikilia hilo tairi! Inapokatika hata kwa kuchomelea bado inashindikana hiyo nati haifai tena. Mkilazimisha kusafiri na nati mbovu mtaangusha gari na safari itaishia hapo.

Endelea...
 
Bora ungejijibu mwenyewe! Maana sifikirii kama Zitto anamuda mchafu wa kukujibu wewe, unapoteza muda wako tu.
 
Na kama nati hyo isiyofaa na ikawa umeitoa na kuitupa kuna sababu gani kuendelea kuitafuta wkt ushaitupa...

Kama utaendelea kutaitafuta tafsiri yake bado ilikuwa inahitajika na ni muhimu....

NB: BADO INAHITAJIKA.
 
mikutano mingi ya ACT inaisha ndani ya mda wa mikutano unavyo pangwa sasa cdm huwa hamtaki kutii takwa la kisheria.

zito nimtoto wa mjini anajua siasa za tanzania hataki wanyonge tuvunjwe miguu bila sababu yoyote.

mikutano yake hawezi kuwaponda mbowe na lipumba yeye anataka hata nyinyi cdm mfanye siasa safi sio kutukana tu majukwaani

ccm anaiponda sana nandiomaana anasema nchi hii wanaonufaika ni wachache kwasababu ya mfumo mbovu wa serikali ya ccm.au ulitaka aseme ccm washenzi ndio utafurahi?
 
Kuna tetesi kuwa ZZK aliwahi kupewa briefcase iliyojaa dollar na mdau mmoja hotelini ujerumani wakiwa katika safari ya kwenda kukagua mabilioni yaliyofichwa uswisi inasemekana tokea hapo ZZK alianza kazi rasmi ya kuisariti CDM.Afisa huyo aliwahi kufanya kazi za kidpromasia hapa Tanzania na wakati huo alikuwa amemaliza mda wake,hiyo ilikuwa kutimiza adhma ya ccm.
 
Na kama nati hyo isiyofaa na ikawa umeitoa na kuitupa kuna sababu gani kuendelea kuitafuta wkt ushaitupa...

Kama utaendelea kutaitafuta tafsiri yake bado ilikuwa inahitajika na ni muhimu....

NB: BADO INAHITAJIKA.

Sidhani kama Chadema wanashida na hiyo nati, bali wananchi wanajikita kwenye maudhui yaliyomo ndani yake na kujikita zaidi kwenye kile kisemwacho usaliti.watawala huwatumia sana watu wa namna hiyo kulinda matakwa yao. Waache watu wamchambue msaliti wala hakuna shida.
 
Maswali ya kitoto kama haya hakuna mwenye akili anayeweza kukujibu, yamejibiwa mara nyingi. Umeamua kujitoa fahamu tunakuacha kama ulivyo, ushauri wa bure jengeni chama chenu, mwacheni zito afanye yake.
 
Katika maswali yako kuna points lakin vile vile kuna pumba kibao
 
Eti kwann zitto hapondi serilali?
Au kwann hafanyiwi fujo na polisi?
Hizi naona kama ni pimba sidhani kama kuna chama cha upinzani sera zake ni kuponda tu serikali hata chadema naamimi wanasera zao na malengo ambayo wanatakiwa kutueleza wananchi tukawaachia dola sio siasa za kuchafuana zishapitwa na wakati
 
Maswali ya kitoto sana.Ingawa yameshajibiwa mara nyingi tu hapa hapa JF. Leteni mijadala mingine sasa tuneshachoka na thread zenu za kumlilia Zitto.

Ccm baada ya kusambaratisha Nccr mageuzi 1995, na cuf 2000 kwa siasa za udini na majambia ya IGP Mahita,imeona chadema mbinu ya udini,ukanda,ukabila,ugaidi na Propaganda zinazoelekezwa kwa Mbowe na Dr.Slaa kukwama,Kete ya Mwisho kumtumia Zitto kujaribu kuiua chadema ili 2015 waseme tupeni sisi hatuna vurugu,kama wao wanafukuzana Serikali wataongozaje?
 
Upo katika swali 2 la pili wewe
 
Na kama nati hyo isiyofaa na ikawa umeitoa na kuitupa kuna sababu gani kuendelea kuitafuta wkt ushaitupa...

Kama utaendelea kutaitafuta tafsiri yake bado ilikuwa inahitajika na ni muhimu....

NB: BADO INAHITAJIKA.

Msibushane acheni aje kujibu maswali yake.hizo zingine ni hisia tuh.ndiyo maana nimeanza kwa kusema mimi nampenda Zitto.
 
Huu ndio huwa mwanzo wa kudhorotisha upinzani...badala ya kutumia nguvu kubwa kumpiga mtawala aliyetutumbukiza kwenye dhiki na maisha magumu tunaitumia nguvu hiyo kumshambulia mpinzani mwingine.

Hizi siasa za chuki hazina mwisho mwema na ni vizuri kukubali kwa mazuri aliyoyafanya na kuangalia kwa jicho la tatu mabaya because in human being no perfection.

Zitto ni mwanasiasa anayejiamini kwakile anachokitekeleza na naamini atakuwa mwiba kwa watendaji wabovu na wenye chuki za kisiasa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…