Maswali 20 kwa Mungu

Ha ha haaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eehh ngoja na mimi nisubiri sir God aje na new id ajekujibu haya maswali yake
 
Biblia ni story za kufikirika/allegory..
Hakujawahi kuwepo kwa mtu au watu laliotajwa humo ndani..sio adam,yesu,musa na wengine wote..they didnt,dont or will never exist..

Jifunzeni kuisoma kama kitabu chenye mafumbo/code zilizofichwa..kifupi biblia ni manuscript ya wewe binadamu na sio hizo story za jangwani..

Mungu ni wewe ni mimi na sio vinginevyo..acheni kuimagine vitu mlivyokaririshwa makanisani misikitini..
 
Sasa lengo la waliyotunga hiyo biblia lilikuwa ni nini?
 
Mwanadamu asiyeweza hata kuvuta pumzi moja Kwa uwezo wake ni nani hata amuulize Muumba Wa ulimwengu maswali ya kipumbavu kama anamwuliza mwanadamu mwenzake,hukusoma jinsi alivyoiangamiza sodoma na gomora na jinc alivyoliangusha jeshi LA farao lenye nguvu katika Bahati nyekundu?

Naandika huku nasisimka maana hata kuzitazama mbingu zake naogopa--- muogope Mungu na kumpa utukufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko mtaani kwako hakuna watumishi wa mungu mpaka utuulize sisi ? TUSICHOSHANE AKILI
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…