Masters ya Development Studies

Mrbwire

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
200
51
Heshima zangu kwa wanataaluma na wanazuoni wa JF!

Nikiwa najua kuwa mafanikio ya mtu ki-maisha hayatokani tuu na kozi aliyosoma, natambua pia kuwa kozi uliyosoma ina mchango mkubwa hasa kama iko sokoni...yaani kama inauzika.

Naomba kufahamishwa postgraduate ya development studies (MA) inauzika? na je pana specialization tofautitofauti? Mfano, je kuna DS in Gender and Development OR DS in Urban Planing? (Refer kwenye local institutions pse.)Je kuna vyuo mbali na UD vinatoa kozi hii?

Naomba kujua kwa nini niisome kozi hii au kwa nini unafikiri sipaswi kuisoma.. Wadau mlioisoma changieni (objectively) km kuna regrates mlizonazo kwa kuisoma we tumwagie jamvini....

Naomba kuwakilisha.
 
Masters degree zitolewazo UDSM ni hizi hapa (kwa mujibu wa website yao):
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…