Masters wa Kila Jukwaa tuwakumbuke/tuwatambue

Masters wa Kila Jukwaa tuwakumbuke/tuwatambue

Kule Mmu unanikuta mm nimetulia na simu yangu ya Samsung A05 ya mkopo
 
Tech, Gadgets and Science Forum
Hapo utawakuta hawa wamba wamejitandaza wakitoa elimu bila hiyana na kwa utulivu mkubwa sana wapewe maua yao.

Mwl.RCT
Chief-Mkwawa

Uliza mambo ya IT/ICT n.k kama wapo karibu watakupa darasa bure kabisa. Nimekuwa nikiwafuatilia sana. Tusiache kutambua michango ya watu please.
nilitaka kumtaja chief mkwawa wa hilo jukwa. Huyu mjuba mimi binafsi nimejua teknojia nyingi za mambo ya kompyuta na simu toka kwa huyo mwamba. Hanaga shobo ukimuuliza maswali anajibu vema
 
nilitaka kumtaja chief mkwawa wa hilo jukwa. Huyu mjuba mimi binafsi nimejua teknojia nyingi za mambo ya kompyuta na simu toka kwa huyo mwamba. Hanaga shobo ukimuuliza maswali anajibu vema
Kabisa.jamaa ana moyo wa kizungu sana. Anapaswa akumbukwe na huwa hana lugha ya kuudhi au dharau.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom