Graduate Engineer
Member
- Jan 5, 2021
- 21
- 13
Nashukuru kwa mchango wako.Kasome master's of engineering management na uspecialise kwenye project planning and management.
Kabla ya kuwaza masters JE UMESHA SAJILIWA KAMA PROFESSIONAL ENGINEER?Habari members!
Naombeni muongozo ni masters ipi naweza kusoma undergraduate nimemaliza B.sc in civil engineering...
Kwan unavijua vigezo vya kusajiliwa kuwa professional engineer??Kabla ya kuwaza masters JE UMESHA SAJILIWA KAMA PROFESSIONAL ENGINEER?
Kuadd value katika my career hasa mbeleni kuwin competition mahala pa kazi hasa ikitokea fursa zaid miongon mwa employees kuwa promoted na kupata managerial positions.Vizur...unataka kusoma masters ukiwa na lengo gan.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Ni vyema ungetoa ushauri bora kwa mleta uzi mana kila mtu kuwa na mba sio kigezo cha yeye kuisoma ama kutoisoma..kila mtu na malengo yake.MBA kila mtu anayo mtaani siku hizi.nakushauri jikite kwenye specialisation za sayansi huko.
Vigezo vipo viwili tuuKwan unavijua vigezo vya kusajiliwa kuwa professional engineer??
Sio kweli, rudi kusoma tena mwongozo wa ERB.Vigezo vipo viwili tuu
1. Kuomba kufanya SEAP 3 years zen ripoti zako zihakikiwe mwisho usajiliwe
2. Unstructured: Hii kwa mtu alieajiliwa anaweza kuandika ripoti mradi mmoja zen ikipitishwa unakuwa registered.
N.B: vyote hpo juu ili ufanikishe lzm uwe GE kwanza
Vigezo vipo viwili tuuKwan unavijua vigezo vya kusajiliwa kuwa professional engineer??
Unaweza kuongezea kweny mapungufu yalipo. Mi nimejibu kwa incase mtu anaetaka kuwa P.ESio kweli, rudi kusoma tena mwongozo wa ERB.
Nijuavyo mie unapofanya Master Degree unaenda kwenye specialization katika area yani Nimefanya Degree ya Ualimu nikafanya kazi kama mwalimu kwa muda flani kisha nikawa administrator kwa muda then nikaona kwenye administration ndiko nilikoexcel kwa hiyo naenda kufanya Master ya Education nikijikita kwenye Administration. Kwa case yako je wewe kwa kipindi chako cha ajira umeexcel area ipi? Na je unajiona wapi miaka m5 kuanzia leo? Bado mwajiriwa au mtu aliejiajiri na km muajiriwa basi ni Head wa Section au Common Soldier? Na kama umejiajiri utajikita wapi? Then fanya maamuziHabari members!
Naombeni muongozo ni masters ipi naweza kusoma undergraduate nimemaliza B.sc in civil engineering.
N.B: mimi ni muajiriwa serikalini.
Options nilizofikiria
1. Kufanya distance learning ambapo option ni OUT au UDSM
-Kwa OUT kozi ni MBA au Masters ya Project management. Au nimekosa sn nifanye ya MA natural resources assessment and mgt
-Kwa UDSM nifanye postgraduate ya Engineering management
2. Fulltime.
Hapa niombe ruhusa nifanye masters ambazo naweza kuspecialize kutokana na first degree.
NAOMBA MICHANGO YENU WADAU.
IDEA YOYOTE MPYA NAPOKEA MAANA AYO NI MAWAZO YA MWANZO NA PIA CHANGES NAPOKEA
Asante kwa mchanganuo mzuri sana kiongoziNijuavyo mie unapofanya Master Degree unaenda kwenye specialization katika area yani Nimefanya Degree ya Ualimu nikafanya kazi kama mwalimu kwa muda flani kisha nikawa administrator kwa muda then nikaona kwenye administration ndiko nilikoexcel kwa hiyo naenda kufanya Master ya Education nikijikita kwenye Administration. Kwa case yako je wewe kwa kipindi chako cha ajira umeexcel area ipi? Na je unajiona wapi miaka m5 kuanzia leo? Bado mwajiriwa au mtu aliejiajiri na km muajiriwa basi ni Head wa Section au Common Soldier? Na kama umejiajiri utajikita wapi? Then fanya maamuzi