Masters of Human Resource Management (MHRM)

Masters of Human Resource Management (MHRM)

Malolella

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
366
Reaction score
114
Wadau nimeomba kufanya masters ya HRM toka Open Univesity of Tanzania. Naomba aliesoma au anaesoma hii coz tufahamiane iwe rahic kushare material. Thanks in advance!
 
Kwanini? Nimeona kuna kozi 4 ambazo ni core then 2 ni elective. Kwa kuanza unaweza kuchkua 4 unafanyia UE then unamalizia 2 hapo unaruhucwa kuanza desertation. Nadhani ukiwa serious unaweza kumaliza ndani ya miaka miwili.
 
Subiri chuo kifungue mtafahamiana tu ukiona mmama mzuri chonde chonde usinitose mi napiga phD ya HRM nitakusaidia madesa.
 
Kazi hakuna am hechiara tumejaa an hatutegemei kustaafu
 
Shule inaenda vizuri na madesa nimepata yakutosha...aksante wote mlonipa msaada wa mawazo na madesa
 
Back
Top Bottom