Teacher Emma
Member
- Jul 15, 2015
- 21
- 9
Habar zenu wana JF?
Nikiwa na uhakika bila shaka, ni matumaini yangu kuwa nitapata msaada ili iwe rahisi kutatua huu mkwamo wa kifikra.
Mimi ni mhitimu wa BSc. Education (chemistry/biology) nikiwa na G.P.A ya 3.9 kuna wakati nawaza je, nijiendeleze katika ngazi ya masters degree au nianze safar upya ya kubadili kabisa hii taaluma yangu?
Mkwamo huu unatokana na mshahara anaolipwa mwalimu kukaribiana kabisa na mtu aliyegraduate diploma ya nursing/clinical medicine.
Tafadhali naomba ushauri